nilikuwa namkubali sana ncha kali kama millard akidisappearKipindi cha amplifaya kinafaa watu kama.
1.Askofu TZA.
2.Musa husein.
3.Maiko lukindo a.k.a Informer
Mina Ali anachemka sana hadi anaboa.
Ncha kali aka Ruben Ndege sijui yuko wapi jamaa.nilikuwa namkubali sana ncha kali kama millard akidisappear
nilimsikiaga Efm mwaka juzi sasa ni kiongozi wa chama cha basket ball sijui nafasi yakeNcha kali aka Ruben Ndege sijui yuko wapi jamaa.
Weka picha yake tumthamini na uko.Kwa kweli kilipokuwa kimefika kipindi na Millard Ayo,na sasa hasa anapokuwa hayupo Millard kweli,kabisa hajiwezi kabisa,kwanza hana ueledi mpana wa mambo,pia hajui wapi awe serious ama wapi awe ki entertainment zaidi,kama mnalazimika kuwa naye mpeni fair feedback msifariji ana haribu na nyie mtakuwa kama hamjitambui kuto mkosoa uandishi ni kukosoana ili kuboresha.Mawazo yangu kwa nia njema ya kujenga kama shabiki pia wa kipindi hicho.
Labda kidogo, wangempa hata yule msoma magazeti wa Millarsd Ayo Alice Tuppa. Huyu Minna yuko shallow sanaKipindi cha amplifaya kinafaa watu kama.
1.Askofu TZA.
2.Musa husein.
3.Maiko lukindo a.k.a Informer
Mina Ali anachemka sana hadi anaboa.
Kweli mkuu,hata angesema "matumbili"angalauMkuu y ucngetafuta mbadalaa wa neno "manyani"
Kweli mkuu,hata angesema "matumbili"angalau
Kwani ameachana na Dina marios!!!!Amina ally ana makelele sana na anajiharibia kuongea harakaharaka kama anarap. Yule anafaa kwenye voice over matangazo kama niambiee.
Ncha kali yuko poa sema siku hizi amewekwa ndani na jimama moja madale naona Dinna marios kashindwa kumpetiti. Nawaonaga sana Kunduchi beach hotel.
Sasa ndiyo ajifunzie masikioni mwetu?Tutamwandama tu...hamna namna.Mnamuandama sana hadi mnakera.Sasa atajifunzia wapi kama si hapo? kwani kuna aliyezaliwa anajua?
Ifike wakati tujifunze kuvumilia wengine kama nyie mnavyopenda kuvumiliwa...
Mnakera sana..mnataka akajifunzie wapi? afukuzwe kazi ili akose chakula mridhike?
Huyu dada hana shida kama mnavyojaribu kumkatisha tamaa..
Amina Ally ukikata tamaa na kuacha kufanya unachofanya itakuwa dhambi.