Clouds FM mnakera Sana

Clouds FM mnakera Sana

JOGOO JINA

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
44
Reaction score
3
Mnakera sana haswa ktk uchambuzi wenu wa magazeti asubuhi manake huwa hamna mpangilio mzuri, gazeti moja tu kipindi kizima?
 
Mnakera sana haswa ktk uchambuzi wenu wa magazeti asubuhi manake huwa hamna mpangilio mzuri,gazeti moja tu kipindi kizima?
Nyie ndo wale mnaosemaga hamuipendi clouds, lakini kutwa kuisikiliza.... Ikikukera hamia redio uhuru
 
Kuna sheria inayokulazimisha kusikiliza redio Clouds? utaja kufa na presha kwa unafiki wa staki nataka, huo ni utumwa binafsi!!
 
ha ha ha ha ili ununue nakala yako wakimaliza hutanunua gazeti
 
Mnakera sana haswa ktk uchambuzi wenu wa magazeti asubuhi manake huwa hamna mpangilio mzuri,gazeti moja tu kipindi kizima?

Km shida yako ni magazeti,nenda RFA(saa 12 na nusu asubuh km sijakosea),km upo dar,radio WAPO (sa 2 asubuhi)ipo vzr,
 
ha ha ha ha ili ununue nakala yako wakimaliza hutanunua gazeti
Na kweli, maana baadhi ya wabongo kwa kupenda vya bure.... Ndiyo maana kutwa kucha utasikia thread zimeandikwa...
1. Jinsi ya kutazama startimes bila kulipia..
2. Jinsi ku-unlock modem ya kampuni ya simu
3. Jinsi kutazama DSTV bure..
4. Naomba keys za word 2012
5. Jinsi ya kupata free internet
6. etc etc
 
Mnakera sana haswa ktk uchambuzi wenu wa magazeti asubuhi manake huwa hamna mpangilio mzuri,gazeti moja tu kipindi kizima?

Umenikumbusha mbali kidogo enzi hizo nikiwa nasikiliza Radio Cloudz, Vipi Gadner Habashi anaendelea na kile kipindi chake sijui kinaitwaje kilikuwaga mara nyingi kwenye saa kumi alasiri
 
Walewale...
 
Na kweli, maana baadhi ya wabongo kwa kupenda vya bure.... Ndiyo maana kutwa kucha utasikia thread zimeandikwa...
1. Jinsi ya kutazama startimes bila kulipia..
2. Jinsi ku-unlock modem ya kampuni ya simu
3. Jinsi kutazama DSTV bure..
4. Naomba keys za word 2012
5. Jinsi ya kupata free internet
6. etc etc

Mkuu hapo umenena ukweli mtupu vya bure vibaya unaona sasa presha umezoea sasa huvipati
 
Umenikumbusha mbali kidogo enzi hizo nikiwa nasikiliza Radio Cloudz, Vipi Gadner Habashi anaendelea na kile kipindi chake sijui kinaitwaje kilikuwaga mara nyingi kwenye saa kumi alasiri

Aisee hiyo redio sijui ilishafungwa? maana siku hizi auto search kwenye redio yangu huwa inaruka 88.4
 
Na kweli, maana baadhi ya wabongo kwa kupenda vya bure.... Ndiyo maana kutwa kucha utasikia thread zimeandikwa...
1. Jinsi ya kutazama startimes bila kulipia..
2. Jinsi ku-unlock modem ya kampuni ya simu
3. Jinsi kutazama DSTV bure..
4. Naomba keys za word 2012
5. Jinsi ya kupata free internet
6. etc etc

Huwa unaitwa uchambuzi wa magazeti si usomaji wa magazeti. Kuna analysis ambayo watangazaji wanafanya beyond kusoma kilichoandiwa na wakati mwingi huwa ina manufaa.

Sikubaliani na hoja yako ya kufananisha kusikiliza uchambuzi wa magazeti na kuiba key za software.
 
Back
Top Bottom