Clouds FM mnaboa

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
330
210
Hatukatai kurusha matangazo ya biashara, kinachoboa ni bandika bandua ya matangazo tu mwanzo mwisho for a long long time.

Kinachoboa zaidi tangazo lilelile ulilolisikia sekunde iliyopita, unalisikia tena baada sekunde chache, as if wasikilizaji ni viziwi na wasahaulifu kila baada ya sekunde

Hamnaga standard ya interval ya tangazo moja na lingine? Kuweni advanced, acheni u'local. MNABOA mpaka mnatulazimisha tuhame stesheni wakati tunawapenda.

Badilikeni
 
Kipindi Chao Cha Michezo kile cha usiku Ni kero kwa matangazo,hovyo kabisa.Nilisha acha kitambo kuwasikiliza.
 
Me nilijua ni peke yangu ninayekerekwa yaani unakuta wanaleta mtu anapewa air time ndogo kuliko bakia ni matangazo tu jamani semeni kama hy ni radio ya matangazo tuelewe
 
Back
Top Bottom