Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,454
- 4,721
Eti mtangazaji nguli?
Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
True! Uhuru ni stateman hasa, utendaji na siasa zake ni kwa maslahi ya taifa kuliko chama chake.Ningempa kura yangu Uhuru Kenyatta.
Kampeni angepigaje wakati kiswahili hajui na hata lugha za maziwa makuu pia hajui??.. Au labda kama Kisukuma kiwe Lugha ya bara zima la AfricaHayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
DaahMada ndio hiyo kama baba yake tu anafurumushwa kanisani kwa kungoneka na mwanakondoo, basi hakuna mtu yeyote makini anyeweza kumchukulia serious huyo mbilikimo!
Wala si ajabu. Kuna watu wanaweza kukuambia kama ningekuwapo wakati mama anachumbiwa basi ningependekeza aolewe na MkuluHayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
Katiba mbaya ya TZ ndio inambeba jiwe.Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
Wako wanaoweza kufuatilia pia familia yako...jikite kwenye mada Ndugu yangu...Huyo Sasali si ndio baba yake alikua mchungaji Kinondoni akafurumushwa kwa kungoneka na mwanakondoo???
kweli una kazi kubwa mzeeHayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
Hapana mkuu, Gabriel na Jibril ni malaika huyo huyo mmoja, wakristo wanamtambua kama Gabriel na waislam wanamtambua kama JibrilNi wawili tofauti Gabriel Malaika jibrii pepo la kiislamu
Wivu tu. Sam ni kijana anayejitambua. Watanzania tunampenda sanaMada ndio hiyo kama baba yake tu anafurumushwa kanisani kwa kungoneka na mwanakondoo, basi hakuna mtu yeyote makini anyeweza kumchukulia serious huyo mbilikimo!
Wajinga wamekutanaHayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv
Watanzania nani na nani?Wivu tu. Sam ni kijana anayejitambua. Watanzania tunampenda sana
Baba yako na mama yako wanahusikaWatanzania nani na nani?
Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.
Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.
Chanzo: Clouds tv