Clouds 360: Kama Nyerere angekubaliana na wazo la Kwame Nkurumah kuifanya Afrika nchi moja basi Dr Magufuli angekuwa Rais wa Afrika

Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.

Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.

Chanzo: Clouds tv
Kampeni angepigaje wakati kiswahili hajui na hata lugha za maziwa makuu pia hajui??.. Au labda kama Kisukuma kiwe Lugha ya bara zima la Africa
 
Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.

Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.

Chanzo: Clouds tv
Wala si ajabu. Kuna watu wanaweza kukuambia kama ningekuwapo wakati mama anachumbiwa basi ningependekeza aolewe na Mkulu
 
Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.

Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.

Chanzo: Clouds tv
Katiba mbaya ya TZ ndio inambeba jiwe.
Wakiwka tume huru hata mama Jane hatopiga kura
 
Ni nani kawaambia kwamba Mwalimu ndiye alikuwa muamuzi wa mwisho kwenye suala la kuunganisha Africa?
 
Mada ndio hiyo kama baba yake tu anafurumushwa kanisani kwa kungoneka na mwanakondoo, basi hakuna mtu yeyote makini anyeweza kumchukulia serious huyo mbilikimo!
Wivu tu. Sam ni kijana anayejitambua. Watanzania tunampenda sana
 
Waafrika wengi bado hawajajua wako karne ya 18.. Unadhani dunia ya sasa ya sayansi na tecknolojia inaweza toa raisi wa afrika au wa bara fulani. Tujifunze watu wa dunia ya 3 wenzetu wa dunia 1 wanavyofanya...
 
Hayo yamesemwa katika mahojiano kati ya mtangazaji nguli nchini Sam Sasali na wakazi wa Ikwiriri mkoani Pwani.

Sasali leo ameendesha kipindi chake mubashara kutokea Ikwiriri.

Chanzo: Clouds tv

Nina kuhakikishia tena pasipo shaka yoyote Tanzania kamwe ingeweza kutoa Rais wa kuongoza Afrika labda kama huzijui nchi za Afrika Kaskazini,Magharibi.Ukitaka kujifunza muulize Dr Salim A Salim anajua kama si msaada wa nchi za SADC na nguvu ya South Afrika kiuchumi asingepenya.

Hapa bado sijaweka uwezo wa mtu kuongozi.
 
Back
Top Bottom