Clouds 360: Kama Nyerere angekubaliana na wazo la Kwame Nkurumah kuifanya Afrika nchi moja basi Dr Magufuli angekuwa Rais wa Afrika

Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.Zigo la baba huwezi twika mtoto Wala la mtoto huwezi mtwika baba
Like father like son....Kama baba mhuni, hicho kimbilikimo ndio kitakua kihuni zaidi! Hivi unategemea mtoto wa Mzee Meko anaweza kua na roho nzuri?? Atakua na roho ya chuki, uuaji, utekaji, wivu na umaskini kama baba yake tu!
 
Back
Top Bottom