Clip ya Kikwete ya mbayuwayu speech

Clip ya Kikwete ya mbayuwayu speech

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Mwenye Ile clip ya siku Ile Kikwete ana simulia story ya mbayuwayu na
Ndo akatoa mseme huu maarufu umekuwa wa kila siku.
Akili za kuambiwa changanya na zako..

Naomba mwenye clip aiweke hapa..

Naona Kikwete ametupa urithi wa huu msemo utakao last mda mrefu kuliko vingi alivyofanya..
 
Kikwete anapendwa na watu wengi, sijui kwanini. Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Asante lakini hii sio original..
Yenyewe ilikuwa hotuba alisimulia story ya mbayuwayu..ndege ilikuwa speech anazuia mgomo..wa wafanyakazi..
Yes naikumbuka hiyo story ya mbayuwayu noma kweli speech nzuri hata mie naitafuta.
 
Back
Top Bottom