issue si kwamba hatupo reliable, hatuaminiki kwa tusemalo, tutendalo na wala report zetu.Sasa nani ata invest programm y amiak 50 katika nchi ambayo haijui hata kama ni ya kijamaa, kibepari, isiyofungamana na nchi yoyote.Hiyo ni red light.Kama tunajifanya tunakomaa sana na wairani na wachina kwa style ya kujisahau.Usishangae gemu na malawi likawa gumu haswa na baadaye mbeya ikaingia kwao.Tena wale wanyasa walishaingia long time.Wakati akina comrade Membe wakipursue mazungumzo.Komba aliwahi lalamika bila kujua mwanajesh wetu kuwa upande wa malazi Ziwa limendeendelwa sana kuliko kwetu.Sasa ngoja report nyingine zidai kuwa zaidi ya nusu wa raia wana ndugu malawi.Halafu affiliation yao ni kule.Tukijifanya waua tunakutana na yale Bosnia.Sijui ni budget au intelligensia ilikuwa imelala.