MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
For more info please click here!
Its not over until its over, D day is Nov 8th 2016 Dude!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
For more info please click here!
Wakisema kwamba Trump anaongoza basi unakuwa utafiti wa TWAWEZA,Ila Clinton akiongoza sio wa TWAWEZA..Double standard sijui mtaacha lini.Huo ndio uhalisia kwa sasa japokuwa ni ngumu kumeza,vituo vingi vikubwa kwa marekani wamesema hivyo.CNN ma liberali wa kutupwa na supporters wa Clinton hata wao wamekiri hivyo...Thats the reality,accept it bro.Source: Fox News. 'Nough said [emoji23][emoji23][emoji23]. Ni sawa na TWAWEZA tu. Hivyo hivyo CNN. Angalia polls za independent organizations kama Nielsen, Quinnipiac etc angalau utapata picha kidogo...
Ndugu. Uchaguzi wa Marekani HAUNIHUSU. Point yangu ilikuwa ni kusema kwamba polls za Fox News na CNN mara nyingi ziko biased kuliko zile za vyuo vikuu na makampuni mengine huru. Sasa wewe unakuja na mipasho ya mara ngumu kumeza mara hivi. Sorry simo katika USHABIKI wa siasa za Marekani and I real don't care who gets elected. Adios!Wakisema kwamba Trump anaongoza basi unakuwa utafiti wa TWAWEZA,Ila Clinton akiongoza sio wa TWAWEZA..Double standard sijui mtaacha lini.Huo ndio uhalisia kwa sasa japokuwa ni ngumu kumeza,vituo vingi vikubwa kwa marekani wamesema hivyo.CNN ma liberali wa kutupwa na supporters wa Clinton hata wao wamekiri hivyo...Thats the reality,accept it bro.
relax man...cheers.Ndugu. Uchaguzi wa Marekani HAUNIHUSU. Point yangu ilikuwa ni kusema kwamba polls za Fox News na CNN mara nyingi ziko biased kuliko zile za vyuo vikuu na makampuni mengine huru. Sasa wewe unakuja na mipasho ya mara ngumu kumeza mara hivi. Sorry simo katika USHABIKI wa siasa za Marekani and I real don't care who gets elected. Adios!
BBC news...niliona Jana...walisema hivyo pia.FOX NEWS ni supporter wa Republican, usitegemee mazuri kutoka kwao dhidi ya Hillary
Sawa sawa ni CNN, wao wapo upande wa Clinton na Democratic, usitegemee miujiza waisifie Republican