Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,447
- 10,785
Ndugu yangu mmoja alipata ajali ya gari akaumia kifuani. Hospitali za kawaida ikashindikana. Tukampeleka hizi cliniki za tiba mbadala. Dah, jamaa wanatoza mahela mengi, tulichoambuliwa ni maumivu mpaka leo mpaka tulipompata Dr Bingwa wa hosp za kisasa na mgonjwa ana nafuu.
Hizi clinic za Fore planning, Sigwa herbal, Life, na nyingine za akina Ndodi, Dr Ndulu na wengine zichunguzwe maana zinaishia kutuibia wananchi. Sina hakika na Elimu ya wale wamiliki. Kama zinatibu basi ni asilimia ndooogo sana, iliyobaki ni uongo na utapeli.
Sina hakika na vipimo vyao sijui kwa kompyuta, maana ile ni system ya kuwapofusha watu hasa wanaoisikia tu kompyuta wahadaike na kuliwa pesa. Pia nyingi ni magonjwa ya wanawake au mambo ya uzazi, ugumba n.k
Serikali chunguzeni hili.