Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Who knows...... yamkini Mlugo akaibukia hukoHuko amna izo mambo
Who knows...... yamkini Mlugo akaibukia hukoHuko amna izo mambo
Mkuu unaweza kuwa na rafiki lindiMi nilisoma Lindi sec..ni jiran sana chuo hichi..kimepakana na hospital ya mkoa sokoine na pia kipo ufukweni mwa bahari..mazingira yake ni mazuri sana ..zaman kikwazo kikubwa wakati sisi tunasoma lindi ilikuwa ni barabara yaan kulala siku tatu njian kutokea dar ilikuwa ni kitu cha kawaida sana..but siku hz unafika lindi kwa masaa machache sana..so kila la kheri
Mkuu me nakifahamu na nipo Karibu tuh na chuo iko... Ila taarifa muhimu nikama walivyo Sema hapo juuMwenye Taarifa zote muhimu kuhusu hiki chuo. Pamoja na mazingira ya jirani kwa ujumla.