Kipo jirani na sokoine referral hospital ..na mkabala na lindi secondary (lindi high school)Mwenye Taarifa zote muhimu kuhusu hiki chuo. Pamoja na mazingira ya jirani kwa ujumla.
Nataka nikajiunge na hicho chuo.Ufanyie nini Thad
Mmmh! kumbe mwanao? Mi nilijua wewe, basi nimeghairi siendi tena chuo hichoUtakuwa na mwanangu mkasome sawa
Hongera.Haha mie nilisoma za mkoloni
Nitaenda shule ya nani na hii Div.Five yangu mkuu?Nenda Shule binti..
Ile ile ya miaka ile ya Mh. MlugoHaha div5 ipo kumbe
Mi nilisoma Lindi sec..ni jiran sana chuo hichi..kimepakana na hospital ya mkoa sokoine na pia kipo ufukweni mwa bahari..mazingira yake ni mazuri sana ..zaman kikwazo kikubwa wakati sisi tunasoma lindi ilikuwa ni barabara yaan kulala siku tatu njian kutokea dar ilikuwa ni kitu cha kawaida sana..but siku hz unafika lindi kwa masaa machache sana..so kila la kheriMwenye Taarifa zote muhimu kuhusu hiki chuo. Pamoja na mazingira ya jirani kwa ujumla.
Asante Sana mkuuMi nilisoma Lindi sec..ni jiran sana chuo hichi..kimepakana na hospital ya mkoa sokoine na pia kipo ufukweni mwa bahari..mazingira yake ni mazuri sana ..zaman kikwazo kikubwa wakati sisi tunasoma lindi ilikuwa ni barabara yaan kulala siku tatu njian kutokea dar ilikuwa ni kitu cha kawaida sana..but siku hz unafika lindi kwa masaa machache sana..so kila la kheri