kaka nnachoelewa ni kuwa ngazi za udaktari ni ASSISTANT CLINICAL OFFICER,CLINICAL OFFICER,ASSISTANT MEDICAL OFFICER,MEDICAL OFFICER(MEDICAL DOKTOR).
Na ipo hivi,ukipiga certificate kama una sifa za cert. ukimaliza ukataka unaeza enda mpaka degree, sababu utafanya kazi miaka husika nadhani miwili kisha unaunga C.O(clinical officer) ambayo ni diploma na vigezo vyake, moja ni kama ilivyoandikwa kwenye fomu za wizara yaani form six princilple tatu PCB na form 4 ilivyotajwa.
kwenye C.O kama ilivyoandikwa ni kwamba, form six mwenye hizo priciple na form 4 mwenye hivyo vigezo, sasa huyu akitaka kujiendeleza ana chaguzi mbili moja kuna baadhi ya vyuo kama KCMC wanataka ufaulu mzuri katika diploma na certificate yaani A.C.O na C.O pia awe na priciple moja A-LEVEL kwenye PCB. Kwa mujibu huo unaona form four kupata degree hatoweza katika chuo cha KCMC na form six aliefeli akiwa na hiyo principle anakuwa na nafasi ya degree,sasa huyu form 4 aliyechukua certificate au huyu mtu aliyechukua certificate na hakufika form six au hana principle pass anapita A.M.O.......sijajua zaidi kuhusu vigezo vya AMO ili asome degree inahitajika nini ilo labda nisaidiwe,pia nimesikia mtu wa A.M.O anachukua degree. LAKINI MTU ALIEMALIZA SIX HAKUWA NA UFAULU WA KUCHUKUA DEGREE HAWEZI ENDA A.M.O MOJA KWA MOJA, bila shaka utakuwa umenielewa kwa ngazi ya AMO. Ahsante