Zote nzuri ila CO ndio nzuri zaidi then utasoma diploma for a one academic year baada ya kumaliza certificate(two years), kwa swala la salary cjajua ngoja wazoefu waje watujuzeHabari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?
phy-d chem-cSifa za ku apply clinical medicine ni zipi
Mkuu Hebu pitia ulichokiandika! Hakuna Diploma ya Mwaka 1 hata Kama umepitia Certificate.Zote nzuri ila CO ndio nzuri zaidi then utasoma diploma for a one academic year baada ya kumaliza certificate(two years), kwa swala la salary cjajua ngoja wazoefu waje watujuze
Mkuu Chukua Hiyo Medical Laboratory na wala usichukue CO.Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?
Sifa za kuapply CO ni
bios-d
chemistry-d
Physics-d
English at least-d pamoja na math ikiwa ni sifa za nyongeza.
Hii ni kwa ajiri ya kusoma cert ambayo ni miaka 2.
KUSOMA DIPLOMA LAZIMA UWE NA VIGEZO VIFUATAVYO.
-Bios-C
-chemistry-C
-Pysics-D
Math na kingereza ni sifa za nyongeza walau upate D katika somo mojawapo hasa kiingereza.
Huu utasoma miaka 3.
zingatia
Biology+chemistry+physics+english ni muhimu zaid kufaulu.
You nailed it.Mkuu Chukua Hiyo Medical Laboratory na wala usichukue CO.
Kwanini Ninakushauri Hivyo??
Hiyo Ni Kwa ajili ya Future yako!! Ukitaka Sifa na Kuangalia Hapa Karibu! Basi utaona CO ndiyo Kila kitu. Ila Kumbuka Kuwa Utahitaji Kusoma Zaidi Baadaye Kwa Ngazi ya MD! Hapo Ndiyo Patamu!!!!!!!
Mkuu Sasahivi Katika Course yenye Ushindani Wa Kupindukia Vyuo Vikuu ni MD hususan kwa wale waliopitia Diploma, Na vyuo vya MD vinazidi kufungwa ilhali wasomi wanaongezeka, Kwahiyo Unaposoma CO basi utakuja kukwama Kwenye MD.
Lakini unaposoma Medical Laboratory
utapeta Kwenda Kusoma Degree Coz ushindani wao unakua sio Mgumu Kivile, Na Vyuo Vinavyotoa Hii Fani Ni Vingi.
Nakushauri usome Medical Lab. Ma C.O ni wengi sana sahv, nafasi za ajira ni nyingi kwa watu wa Lab tofauti na C.O.Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?