Fredrick Mmari
Senior Member
- Jul 8, 2013
- 144
- 37
Zote sawa ...
Unaweza nisaidia sababu zinazokufanya kuona GENERAL AGRICULTURE kuwa the best?general agricature the best
ze best kuji ajiriiiUnaweza nisaidia sababu zinazokufanya kuona GENERAL AGRICULTURE kuwa the best?
Unazungumza jambo usilolijua kabisa, suala la kujiajiri hapa Tanzania ni mtiti mzito sana, Ni kujidanganya kabisa kudhania kuwa Ukisoma basi utaweza kujiajiri kwa hapa Tanzania. Wasomi wengi ni waoga wa kujiajiri na pia hawawezi kujiajiri kabisa.Kama unataka kutumikishwa na serikali Clinical officer ni nzuri zaidi, ila kama unataka kazi za kujiajiri na mwepesi wa kuchangamkia fursa nenda agriculture kama jina lenyewe Agriculture general ,unakuwa upo wide na fursa ni nyingi tofauti na afya ambayo utategemea kwenda kushinda hospitali tu, na usisahau kuwa Uuguzi ni WITO pia.,Ni ushauri tu.
Ahsante kwa ufafanuzi.Clinical officer ni best compaired Dip ib Agric General ukiwa mwajiri wa serikali Maana Mshahara anaolipwa CO ni sawa na mshahara wa graduates wa Elimu au Agriculture.
Pia kama una mtaji unanaweza ukafungu duka la madawa ama zahanati
Tukija kwa Dip Agr nayo ni nzuri kama utaamua kujiajiri kwanza hubanwi na mtu hata jama ukiwa mwajiri una mda wa kufanya mambo yako ila zote zina hitaji initial capital nzuri ili mambo yaende vizuri
Ila hapa tunaangalia kilimo cha kisasa ambacho atataka aendeshe mwenye Taaluma hiyo na sio kile cha mazoea ambacho wa Tz wengi ndio wamejikita humoUnazungumza jambo usilolijua kabisa, suala la kujiajiri hapa Tanzania ni mtiti mzito sana, Ni kujidanganya kabisa kudhania kuwa Ukisoma basi utaweza kujiajiri kwa hapa Tanzania. Wasomi wengi ni waoga wa kujiajiri na pia hawawezi kujiajiri kabisa.
Ni vipi unaweza ukajiajiri kwa Diploma ya Agriculture General halafu ushindwe kujiajiri kwa Clinical Officer?
Haihitaji kuwa msomi wa mambo ya Agriculture ili kuweza kujiajiri kwenye Kilimo. Mtu yoyote yule hapa Tanzania anaweza kujiajiri kwenye Kilimo. Kilimo kwa tanzania ni kazi inayofanywa na mjinga(Ambaye hakukwenda shule), aliyekosa kazi nyingine ya kufanya.
Ni siku hizi tu, tena kwa wajasiriamali wachache ambao wamekwenda kuwekeza mitaji yao kwenye Kilimo. Na karibu watu wote hao, hawakusomea kabisa Agriculture.
Hapo unazungumzia kuwa na uhakika wa kuajiriwa na serikali au hata kujiajiri?Mpaka sasa kwa hapa Tanzania, Diploma pekee yenye Maana, Fursa na Uhakika mkubwa Ajira ni CLINICAL OFFICER.
Kama Degree ya Agriculture General haina faida yoyote kwa sasa, Diploma yake itakuwa na nini cha maana?
Nzuri ktk kuajiriwa na serikal au kujiajiri pia?Co huwezi kuilinganisha na diploma yoyote hapa bongo ni nzuri mno
Naomba utetezi ktk maelezo yakoKi msingi co ni nzuri sana kuliko DGA .
Ahsante kwa ufafanuzi.
Nilichoelewa,
CO umesema ni best ila nikionacho ni kubanwa sana ila agriculture unaweza Fanya mambo yako vizuri na ukatoka bila kubanwa kama utajiajiri