1)clinical officer ngumu kuliko nursing
2)ajira ziko awa kama msemaj wa kwanza alivyosema
3)clinical officer na nurse mshahara sawa ila kama nurse na yeye ana diploma,ila alwayz clinical officer ni bos hata kama nurse ana degree
4)weng wanapenda clinical officer kwasababau ni njia yakwenda kusoma medicene doctor,pia mshaharea mzuri
5)nurse uwezo wa kusoma degree anao,kama za uongoz katika afya,na nurse yenyewe,na vyuo vingne wanakubaliwa hata kusoma pharmacy
kwa ushaur wangu soma clinical officer ni multipurpose,pia uwezo wa kujiajir unakua nao mkubwa