Habari za kazi,
naomba ufafanuzi wa tofauti kati ya diploma nilizozitaja hapo juu katika mambo yafuatayo kwani mm sina uelewa kabisa na mambo ya afya.
1;ni diploma ipi ni ngumu kufaulu?
2;ipi inasoko katika ajira?
3;vp kuhusu utofauti wa mishahara kati ya clinic officer na nurse mwenye diploma
4;kwa nini wengi wanapenda clinic officer kuliko diploma in nursing? Na
5; mtu mwenye diploma ya nursing anaweza kusoma degree? Na kama anaweza ni katika program ipi?
Naombeni ufafanuzi wa maswali hayo coz nimekuwa nikitamani sana kuelewa kuhusu mambo hayo.