Clinic officer v/s Diploma in Nursing

Clinic officer v/s Diploma in Nursing

Na vp kuhusu huyu jamaa yangu, yeye kaomba certifcate ya labo technc, na ufaulu wake ktk (Pcb) ni <f'd'c'>, na katka masomo ya ziada ana 'd' zote, mnisaidie sijui anaweza kupata? Au
 
Labda awe alifaulu vizuri form 6 ndo ataweza kuunganisha direct kutoka CO kwenda Md. Vinginevyo atatakiwa kwenda kusomea AMO (Assistant Medical Officer)

mkuu tupo pamoja soma post yangu no 11,lakini ningeomba usitumie lugha ya kwamba kama alifaulu vizurif6,kama angefaulu vizur F6 pcb nadhani angeenda MD, moja kwa moja bila kupitia CO./Bora tuseme hivi ili CO aende kusoma MD,sharti awe na vigezo vya chuo husika/ TCU.
AMO ilianzishwa kama crash program ili kuwaendeleza co,wapate some basic knowldge kwa muda mfupi ili wakahudumie wagonjwa hasa maeneo ya vijijini kwenye upungu mkubwa wa wataalamu
NB ; sijapinga hoja yako mkuu, na wote tumeonyesha kuwa huwezekano wa co kusoma MD upo.
 
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!

Co sio fani iliyoko Tanzania tu,rekebisha hapo. AMO ndio local lkn baadhi ya nchi zimeanza kuiga toka hapa. Asome C.O,kama ana Qualifications,
 
mkuu tupo pamoja soma post yangu no 11,lakini ningeomba usitumie lugha ya kwamba kama alifaulu vizurif6,kama angefaulu vizur F6 pcb nadhani angeenda MD, moja kwa moja bila kupitia CO./Bora tuseme hivi ili CO aende kusoma MD,sharti awe na vigezo vya chuo husika/ TCU.
AMO ilianzishwa kama crash program ili kuwaendeleza co,wapate some basic knowldge kwa muda mfupi ili wakahudumie wagonjwa hasa maeneo ya vijijini kwenye upungu mkubwa wa wataalamu
NB ; sijapinga hoja yako mkuu, na wote tumeonyesha kuwa huwezekano wa co kusoma MD upo.

Tupo pamoja kaka ila kuna vitu vidogo vidogo tunavichanganya. AMO ni advanced diploma kwa taarifa. na haiwezekani kuanzisha Advanced diploma kwa lengo la kwenda vijijini. AMO anaweza kufanya operation kama scissor na minor wakati CO hawezi kufanya Scissor. kuna baadhi ya nchi kama Uingereza wanawapokea watu waliosoma AMO kwenda kusoma masters kama za Health Education, Public health ( Health promotion) mfano Leeds University na Mastrich University in Netherland.

NB. AMO haikuanzishwa kama crush program kwa ajili ya vijijini. CA ( Clinical Assistant) ambayo ni kama certificate ya medicine hiyo ndo imeanzishwa kama program kwa ajili ya vijijini ili kuendana na mpango wa MMAM
 
can be true AMO ni equivalent na advanced diploma.
sijamaanisha kuwa AMO anafundishwa kwenda vijijini,ebu kwanza nielezee chimbuko la hii kozi ya AMO.
tnavyosema vijijini apa tunamaanisha( district hosp,health centre,na dispensary) ambazo nyingi zinapatikana vijijini kiuhalisia.
wanaofanya kazi uko kwa wingi walikuwa/na bado ni co,hivyo serikali ikaja na idea ya kuwaongezea uwezo ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini ambako kuna upungufu mkubwa wa medical doctor.
basi kozi ya AMO ikaanzishwa mahusis kwa kuwaendeleza co kuwa AMO,kwa muda mfupi wa miaka2 ili kupambana na uhaba mkubwa wa madaktari hasa vijijini.
kumbuka sio rahisi kupata medical doctor 3 kwenye hospita moja ya wilaya either utakuta 1 au hakuna kabisa.
na kweli kwa kiasi fulani AMO wamesaidia kwa kiasi fulani hasa surgical cases(s/section,laparatomy) kuliko kama serikali isengebuni hii kozi,eti kwa kusubilia medical doctor wakazibe upungufu uliopo hasa kwenye maeneo ya vijijini( kumbuka kulikuwa na chuo kimoja tu muhas kinachotoa MD,lakini kwa sasa tunavyuo kama 6 lakini medical doctor hawajatosha ata nusu ya maitaji)
ndugu kuna CO(experienced and commited) ninaowafahamu si tu kwamba wanapiga scissor bali wanapiga adi laparatomy including hysterctomy,sema tu ni utaratibu uliowekwa kwamba hizo procedure zifanywe na AMO au md.
sema ugojwa mkubwa(tena mkubwa sana) wa co/amo ni approach kwenye medical cases still wana lack kitu kikubwa,kufika final correct diagnosis and differential diagnosis(kila mgonjwa anatibiwa either typhoid,malaria au minyoo)ata kama una stroke mbele kwa mbele nature itadecide.(sio makosa yao ni nature ya train yao ilivyo)
kwa nini tunaweza kusema AMO ni crash programm?
kwa comparison ya kozi nyingine kama uhasibu AMO inafanana na advanced diploma.
lakini kiuhalisia kwenye medical field ni crash program,sababu ajasoma ata 30% ya slybuses ya medical doctor(hajasoma pathology,pharmacolo,physiology,biochemest,micobilogy,parasitio).

kuna mtu ataweza kusema si amesoma baadhi ya ayo masomo akiwa anasoma CO,kamwe huwezi linganisha biomedical science ya co, na biomedical science ya md.
kumbuka biomedical science ndio msingi/mzizi mkuu wa udaktari ulipo.
 
Nimekuelewa mkuu wewe ni MD nini, maana tokea siku nyingi nasikia kuna beef ya chini chini kati ya MDs na AMOs kwamba kila mmoja hua anamdharau mwenzie.
Tuache hayo umetoa ufafanuzi mzuri sana wa kisera lakin ukija kwenye implementation kaka hali ni mbaya sana yaani hata ukienda kwenye vituo vya Afya hasa vijijini kumkuta CO tu ni bahati sana, hao AMO utawakuta kwenye hospital za mikoa na wilaya napo ni wachache, ukienda kwenye district utamkuta MD mmoja nae ndo District Medical Officer (DMO) bado tuna safari ndefu sana
Kitu kingine kinachonishangaza utakuta mtu kasoma AMO na amefanya kazi zaidi ya miaka minne akitaka kwenda kujiendeleza MD anaenda kuanza sawa na yule aliyemaliza form 6 ambaye hajui hata jina la sindano kwa lugha ya kitabibu. Ilitakiwa mtu aliyesoma AMO apunguziwe miaka aanze na wale wa mwaka wa pili au tatu.
 
hivi ukiwa na diploma ya medical lab. au ya pharmacy je kuna uwezekano kupata degree ya doctor of medicine
 
Dah! Mi mkuu nakukubali sana! Ila mungu
Akinijaalia nikichachaguliwa clinical officer wizarani nitakutafuta mkuu sababu napenda sana zaidi ya sana udaktari mkuu sababu ninandoto nao!
 
Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.

Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO

CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne

CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO

Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi

Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6

CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi

Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO

Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

maalezo mazuri sana mkuu labda hapo peusi tiiii,kuna mtu aliniomba nimuulizie chuo cha uuguzi nikampigia mkuu wa chuo cha uuguzi alisema certificate ya nurse awe ana d d d kwa masomo ya sayansi bios,chem,phy.na diploma ya nurse awe na c c c kwa form four.
 
Dah! Mi mkuu nakukubali sana! Ila mungu
Akinijaalia nikichachaguliwa clinical officer wizarani nitakutafuta mkuu sababu napenda sana zaidi ya sana udaktari mkuu sababu ninandoto nao!

Ndoto zako ni nzuri sana lakini kama unge kuwa huja apply kwa mtazamo wangu kama wewe ni form six na pcb bora kurudia mitihani hiyo ili ukifanya vizuri uje uombe kuchukua MD moja kwa moja maana ukitaka kuunga unga utachukua miaka mingi. co itakuchukua 3 yrs,AMO 2 yrs ndo uje kuanza MD tena, ni miaka mingi na kumbuka ukiwa AMO hata ukienda kuspecialize mfno,macho nk.hutaitwa specialist(daktari bingwa) hata siku moja.lakini MD anapo specialize anakuwa daktari bingwa ina sound vizuri utani lakini mdogo wangu.
 
Nimekuelewa mkuu wewe ni MD nini, maana tokea siku nyingi nasikia kuna beef ya chini chini kati ya MDs na AMOs kwamba kila mmoja hua anamdharau mwenzie.
Tuache hayo umetoa ufafanuzi mzuri sana wa kisera lakin ukija kwenye implementation kaka hali ni mbaya sana yaani hata ukienda kwenye vituo vya Afya hasa vijijini kumkuta CO tu ni bahati sana, hao AMO utawakuta kwenye hospital za mikoa na wilaya napo ni wachache, ukienda kwenye district utamkuta MD mmoja nae ndo District Medical Officer (DMO) bado tuna safari ndefu sana
Kitu kingine kinachonishangaza utakuta mtu kasoma AMO na amefanya kazi zaidi ya miaka minne akitaka kwenda kujiendeleza MD anaenda kuanza sawa na yule aliyemaliza form 6 ambaye hajui hata jina la sindano kwa lugha ya kitabibu. Ilitakiwa mtu aliyesoma AMO apunguziwe miaka aanze na wale wa mwaka wa pili au tatu.

ahahaa,kamwe narudia tena huwezi kuwa daktari mzuri bila kusoma kozi za mwaka wa 1 na 2(biomedical science)kwenye medical school,ndio maana ni lazima AMO akienda medic school ni lazima aanze mwaka wa 1adi amalize mwaka wa 5(akuna short cut kwenye udaktari).
unajua adi mtu kumaliza AMO amesoma jumla ya miaka 5(3 ya CO+2AMO)ambayo almost ni sawa na miaka ya MD,so issue sio idadi ya miaka issue ni jinsi gani mpangilio wa curriculum ulivyo.
MD slybuses yake ipo well organized,tofauti na AMO ambaye slybus yake ijawa well organized,hivyo inakuwa ngumu kulink material yake.

nb najaribu kutoa fact tu,simaanishi kusoma MD automatic unakuwa bora,hapana kuna factor nyingi sana,unaweza kutana na MD kimeo adi ukashangaa
 
Mbona Advanced diploma imesha futwa ukipiga diploma iwe nursing.medial laboratory au pharmacy degree inakuhusu
 
mwezi wa 6 nilipokuwa naapply diploma muhimbili waliniambia eti advanced diploma zimefutwa sababu zipo sawa na degree
 
Ndoto zako ni nzuri sana lakini kama unge kuwa huja apply kwa mtazamo wangu kama wewe ni form six na pcb bora kurudia mitihani hiyo ili ukifanya vizuri uje uombe kuchukua MD moja kwa moja maana ukitaka kuunga unga utachukua miaka mingi. co itakuchukua 3 yrs,AMO 2 yrs ndo uje kuanza MD tena, ni miaka mingi na kumbuka ukiwa AMO hata ukienda kuspecialize mfno,macho nk.hutaitwa specialist(daktari bingwa) hata siku moja.lakini MD anapo specialize anakuwa daktari bingwa ina sound vizuri utani lakini mdogo wangu.

ukimaliza co kwenda md sio lazima upitie AMO(miaka 2) unaweza kwenda MD moja kwa moja provide unakidhi vigezo vya TCU/chuo husika.
kufikia malengo sio lazima wote tupitie njia inayofanana,kwa tz kuna njia mbili za kupitia adi kuwa daktari(direct from f6 au kupitia co) suala la miaka wala lisikuogopeshe.
ebu fatilia story za mkurungezi mkuu wa muhimbili hosp,au ata mkurungezi wa bugando hosp(wote ni madaktari fatilia walivyofikia malengo yao).
 
mwezi wa 6 nilipokuwa naapply diploma muhimbili waliniambia eti advanced diploma zimefutwa sababu zipo sawa na degree
.

hivi kuna kozi yoyote kwenye sekta ya afya yenye advance diploma?,ngoja nisubiri kwanza kabla zijaweka neno, sekta ya afya ni kubwa sana labda kuna mtu atajibu kwa ufasaha.
 
umepitiwa ndugu na co anaweza kufanya kaz popote ila amo na ca ni fani zilizopo tanzania tu.

Nilikua nafanya application za co america kwaajili ya ndugu yangu mmoja bt hatukuona hyo!Na tukapata taarifa kama hzo kuhusu hawa paramedical!
 
can be true AMO ni equivalent na advanced diploma.
sijamaanisha kuwa AMO anafundishwa kwenda vijijini,ebu kwanza nielezee chimbuko la hii kozi ya AMO.
tnavyosema vijijini apa tunamaanisha( district hosp,health centre,na dispensary) ambazo nyingi zinapatikana vijijini kiuhalisia.
wanaofanya kazi uko kwa wingi walikuwa/na bado ni co,hivyo serikali ikaja na idea ya kuwaongezea uwezo ili kuwasaidia wananchi hasa wa vijijini ambako kuna upungufu mkubwa wa medical doctor.
basi kozi ya AMO ikaanzishwa mahusis kwa kuwaendeleza co kuwa AMO,kwa muda mfupi wa miaka2 ili kupambana na uhaba mkubwa wa madaktari hasa vijijini.
kumbuka sio rahisi kupata medical doctor 3 kwenye hospita moja ya wilaya either utakuta 1 au hakuna kabisa.
na kweli kwa kiasi fulani AMO wamesaidia kwa kiasi fulani hasa surgical cases(s/section,laparatomy) kuliko kama serikali isengebuni hii kozi,eti kwa kusubilia medical doctor wakazibe upungufu uliopo hasa kwenye maeneo ya vijijini( kumbuka kulikuwa na chuo kimoja tu muhas kinachotoa MD,lakini kwa sasa tunavyuo kama 6 lakini medical doctor hawajatosha ata nusu ya maitaji)
ndugu kuna CO(experienced and commited) ninaowafahamu si tu kwamba wanapiga scissor bali wanapiga adi laparatomy including hysterctomy,sema tu ni utaratibu uliowekwa kwamba hizo procedure zifanywe na AMO au md.
sema ugojwa mkubwa(tena mkubwa sana) wa co/amo ni approach kwenye medical cases still wana lack kitu kikubwa,kufika final correct diagnosis and differential diagnosis(kila mgonjwa anatibiwa either typhoid,malaria au minyoo)ata kama una stroke mbele kwa mbele nature itadecide.(sio makosa yao ni nature ya train yao ilivyo)
kwa nini tunaweza kusema AMO ni crash programm?
kwa comparison ya kozi nyingine kama uhasibu AMO inafanana na advanced diploma.
lakini kiuhalisia kwenye medical field ni crash program,sababu ajasoma ata 30% ya slybuses ya medical doctor(hajasoma pathology,pharmacolo,physiology,biochemest,micobilogy,parasitio).

kuna mtu ataweza kusema si amesoma baadhi ya ayo masomo akiwa anasoma CO,kamwe huwezi linganisha biomedical science ya co, na biomedical science ya md.
kumbuka biomedical science ndio msingi/mzizi mkuu wa udaktari ulipo.

well,maelezo haya yanaonyesha ukweli na uhalisia kuwa ni ngumu co kumfikia nes wa diploma au degree ata siku moja!Zaidi labda nijue leo bt cjawah sikia amo,co(paramedical) kawa md!Naomba ufafanuzi!
 
kama muhimbili ipo Advanced diploma ya nursing na medical lab ila ndo zimefutwa sababu hazinatofati na degree zake
 
Ndoto zako ni nzuri sana lakini kama unge kuwa huja apply kwa mtazamo wangu kama wewe ni form six na pcb bora kurudia mitihani hiyo ili ukifanya vizuri uje uombe kuchukua MD moja kwa moja maana ukitaka kuunga unga utachukua miaka mingi. co itakuchukua 3 yrs,AMO 2 yrs ndo uje kuanza MD tena, ni miaka mingi na kumbuka ukiwa AMO hata ukienda kuspecialize mfno,macho nk.hutaitwa specialist(daktari bingwa) hata siku moja.lakini MD anapo specialize anakuwa daktari bingwa ina sound vizuri utani lakini mdogo wangu.
Mi form 4 mkuu nimemaliza mwaka jana!
 
well,maelezo haya yanaonyesha ukweli na uhalisia kuwa ni ngumu co kumfikia nes wa diploma au degree ata siku moja!Zaidi labda nijue leo bt cjawah sikia amo,co(paramedical) kawa md!Naomba ufafanuzi!

mkuu kuna co wengi sana wamekua MD,wala hakuna ubishi kwa hilo.
 
Back
Top Bottom