Clinic officer v/s Diploma in Nursing

Clinic officer v/s Diploma in Nursing

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
poleni kwa majukum, jamani naomba mnisaidie ufafanuzi, kati ya mtu anaesoma diploma ya clinic officer na diploma in nursing, napata utata kuelewa ni ipi nzuri kati ya hizo? ipi nyepesi kuisomea? mishahara ya hao watu inatofautiana nini? na kwa nini watu wengi wanapenda clinic officer? na je mtu akisoma diploma in nursing anaweza akasoma degree progrum ipi? naombeni ufafanuzi kwani kunakitu kinanitatiza sana
 
Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.

Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO

CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne

CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO

Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi

Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6

CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi

Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO

Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
good explanations,
kuongezea kidogo, co anaweza kusomea digrii ya udaktari(md),nurse with diploma anaweza somea bachelor in nursing au bachelor of science in nursing(kufundisha)
 
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu
 
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!
 
kama zali ni lako unapata hvyo ndo vigezo!Pia unaweza kuja kusomea diploma ya dential therapist-matabibu wa meno!If utakuwa tayari nicheck!
 
Poa mkuu vp contact tuwasiliane zaidi mkuu.
 
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu

Unaweza kuomba kozi ya Assistant Clinical Officer(ACO) zamani ikijulikana kama RMA baadae ukajiendeleza inawezekana tu kama una nia.Kila la heri

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!

nadhani haujanielewa,nimemaanisha hivi, clinical officer(co) ni diploma,lakini anaweza kujiendeleza kwa kusoma digrii ya udaktari ambayo tunaita medical doctor(md),provide ana vigezo katka chuo husika/vigezo vya TCU.
 
good explanations,
kuongezea kidogo, co anaweza kusomea digrii ya udaktari(md),nurse with diploma anaweza somea bachelor in nursing au bachelor of science in nursing(kufundisha)
Labda awe alifaulu vizuri form 6 ndo ataweza kuunganisha direct kutoka CO kwenda Md. Vinginevyo atatakiwa kwenda kusomea AMO (Assistant Medical Officer)
 
Namikubari sana wewe na mkuu moes katika kuchambua thread za afya humu jamvini pongezi kwenu wakuu.ila mkuu umenitia wasiwasi kwamba ili mtu asome
Clinical officer lazima awe na div 2 Kwa for
m 4 hasa mi nina div 4 point 26 nimeomba co wizara ya afya Kwa bios c chem c phy d engl d na math f.uliposema div 2 nimeshtuka kweli mkuu

ushauri tu. zile post za wizara usiweke matumaini makubwa, competition ni kubwa sana na vyuo ni vichache sana. Kwa kanda ya kusin kuna chuo kimoja tu cha CO cha serikali
 
Clinical officer hutibu wagonjwa wakati Nurse(muuguzi)huuguza(hutunza)wagonjwa kwa kutekeleza kile kilchoandikwa na clinician.

Clinical officer huwa kiongozi asipokuwapo daktrari(MO au AMO) wakati muuguzi hata kama ana digrii mbili kama tu ni za uuguzi,lazima awe chini ya CO

CO anasoma miaka mitatu wakati Nurse anasoma miaka minne

CO na Nurse wote wakiwa na dip.Nurse huwa na mshahara mkubwa kidogo kuliko CO

Wagonjwa humheshimu zaidi CO kwa kudhani ni msomi zaidi kuliko Muuguzi

Ili usome CO kwa sasa unatakiwa uwe na ufaulu mkubwa kidogo angalau div 2 ya F.4 ama F.6 with science esp PCB,CBG lakini ili uwe muuguzi lazima uwe na ufaulu masomo ya sayansi na Eng na Math kwa angalau div 4 ya pts 26 ama F.6

CO anafanya kazi chache na rahisi kuliko Muuguzi ambaye hufanya kazi nyingi na kwa masaa mengi zaidi

Muuguzi anaweza kujiendeleza katika fani mbali mbali ikiwemo za uongozi sawa sawa na CO

Muuguzi anaweza kufanya kazi zahanati,kituo cha Afya,hadi hospitali za rufaa wakati CO hawezi kufanya kazi hospitali ya rufaa.
KAZI KWAKO

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

asante sana mkuu kwa ufafanuzi, watu kama wewe ni muhimu sana humu jamvini.
 
Diploma ya nursing ni bora. Ukiwa co ni kweli utakuwa na jina kubwa lakini kilaza. Utaishia kuandika "dr to review " kwasababu ya uelewa wako kuwa mdogo sana. Hakuna CO wa division II iwe f4 hata f6.
 
Hakuna degree ya co mkuu!Co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!Pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!

Hongera sana kwa kubaeleza ukweli ma paramedics!
 
Diploma ya nursing ni bora. Ukiwa co ni kweli utakuwa na jina kubwa lakini kilaza. Utaishia kuandika "dr to review " kwasababu ya uelewa wako kuwa mdogo sana. Hakuna CO wa division II iwe f4 hata f6.

Si sahihi kusema CO ni kilaza na wengi tu waliokuwa na ufaulu mzuri O level ila hawakufanya vema PCB na hivyo kukosa nafasi ya moja kwa moja kuchukua doc. of Med(MD) na kupata nafasi ya kusoma dip in Clinical med.Na wengi ndio wanaotoa huduma kwa majority ya watanzania huko vijijini.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
hakuna degree ya co mkuu!co inaishia diploma,pia co na nursing,diploma ya nursing ni c ya bios na chemistry na d ya physics kama hauna physics njoo uliza hapa chuoni watu walivykataliwa na wizara mwaka jana na kusababisha majanga!pia nurse anauwezo wakufanya kazi popote duniani wakati co ni fani iliyopo tanzania tu,tunaita paramedical!

umepitiwa ndugu na co anaweza kufanya kaz popote ila amo na ca ni fani zilizopo tanzania tu.
 
Back
Top Bottom