focus ngajimala
Member
- Jun 18, 2012
- 58
- 5
Mke jeuri alikuwa anapigwa na mumewe, ghafla akatokea jiran akasema mke jeuri hapigwi. Mke akamwambia mumewe msikilize jiran mume wangu usinipige. Mume akamuuliza jiran mke hapigwi anafanywa nini? jiran akajibu muolee mke mwenzie. Mke jeuri akajibu mume wangu usimsikilize endelea tu kunipiga mwaya.