Clemence Mwandambo: Hivi wanaoitwa usalama wa taifa ni kweli ni usalama wa taifa , au ni usalama wa wanasiasa?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Unaweza kusema jitu la msituni Clemence Mwandambo mr Teacher anaendelea kupiga kwenye mshono mbichi kabisa!

Leo kaja ya kuhoji kazi ya usalama wa taifa, kwamba usalama wa taifa ni kwaajili ya taifa au ni usalama wa wananasiasa? na anasema kama ni usalama wa wanasiasa kwa nini waitwe usalama wa taifa.

Maanake ufisadi ukitendeka katika taifa awajihusishi, wizi ukitendekea awajihusishi. Ila wanajihusisha na usalama wa wanasiasa.

Your browser is not able to display this video.
 
JWTZ, POLISI na hao USALAMA WA TAIFA binafsi nawaona matapeli tuu mana wakiwepo nchini wanajifanya mahodari wa usalama Ila ukiwapeleka vitani wanauawa kama sisimizi.
 
Ni usalama wa CcM. TISSCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…