moja ya steam na nyengine ya kongregate, ya steam inahusu port ya playstation na kongregate ni flash games. vitu viwili tofauti na kesi moja ya kufuta cache kumefuta save games.
wanaocheza final fantasy android pia wanalijua hili ukiwa haupo world map huwezi kusave game unategemea cache ili ukirudi tena kwenye game unaclick continue, ukifuta cache umekwenda na maji.
ndio maana unapewa vitu viwili vyenye kazi moja continue na load game.
ukitaka link zaidi ya hizo nitakutaftia zipo case kibao mtu kafuta cache na game lake linapotea alipoishia