Shemejiiiii!!!!
Husninyo The Finest hajambo?
hajambo, mzima wa afya hiha! Ngoja nikuwhatsapp namba yake umpe hi. Mzima wewe bepari choka mbaya?
shemeji mbona hivyo lakini! Hivi unajua kama nakumiss sana?
shemeji mbona hivyo lakini! Hivi unajua kama nakumiss sana?
mmmmhhhhh? hukomi tu? fallen in love again?
Hunizidi mimi, halafu nambayo ya simu imepotea ujue...fanya kunitumia basi.....
thanks god nakuona tena JFpokea simu basi..! Au wataka nikutumie jukwaani? Lol
We all miss you Husninyo! Wanao aunties wako wanakuulizia umepotea Hii shilingi inatafutwa hadi tunasahau kujuliana hali.
pokea simu basi..! Au wataka nikutumie jukwaani? Lol
We all miss you Husninyo! Wanao aunties wako wanakuulizia umepotea Hii shilingi inatafutwa hadi tunasahau kujuliana hali.
itume kwa kupitia ofisi ya Prime Minister...pande hii hakuna Security
Huyu dada ako huwa anajichimbia sijui pande gani...akiondoka kipindi tunapanda, tegemea atarudi wakati wa mavuno!!!
unachonga eeeeeeeehhhhh!!!!! utaoga mvua ya nakozzzz! ooohho.
ila shem najitahidi kuja kutupia hi humu. msije mkahisi nsharest in peace bure.
hvi unajua vle nimeku miss?