Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Huwa ni kuzoweana kupita kiasi au ni utaratibu tuliojijengea, wanandoa au wanaoishi bila ndoa...mke kumwamkia mume wake (shikamoo), niliwahi kumuuliza mwanamke mmoja juu ya hilo na akanipa sababu zake ambazo niliona hazina mashiko kabisa
Alinijibu kirahisi tu tena huku anacheka alisema:- aka babu wee nitamwamkiaje mtu ambae kila tunalala uc*** na ananibinua anavyotaka na kila kitu cha mwili wangu anakijua na mi najua vyake halafu nije nimpe na shikamoo tena ya wapi hiyo!! Nilibaki hoi bila swali la ziada, nikachunguzaaaa nikagundua kuwa hata mi wife hajawahi kuniamkia hata cku 1 japo nimemzidi kwa zaidi ya miaka 10.