simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Bunge Kenya hivi sasa ndani ya mjadala mzito tena wa jazba kweli kuhusu pendekezo ya wateulle wanafasi za cj ,deputy cj na dpp.Democracy imepiga hatua kweli kwa majirani.
Impressive!!! Hata hivyo in these matters Kenyans nawasifu, wananchi wao hawachekei ujinga...
Na changes that big can only be brought with a new Katiba.. and the power of it..
Kisha afu sasa wanataka kua na Supreme Court ambapo all matters will be adjudicated when the small courts cant handle and an
aggrieved party appeals. Sio mambo ya kizamani ambapo Jaji Mkuu anamua kila kitu huku kivuli cha Rais kikiwa nyuma yake.