Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,631
- 6,494
Kumbe wewe jamaa umesoma CIVIL.Hamna kozi duniani ambayo haina soko kama UNA UJUZI KICHWANI na kama ni mtu wa kujiongeza hasa kwenye kutafuta maarifa na connection.
Sasa mbona unakujaga kuchangia nyuzi za programming & software development. Ama ni Mambo ya self-taught.