Civil Engineering UDSM

Alfred

JF-Expert Member
Apr 13, 2008
1,636
1,876
nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwanza kwa mwenyezi mungu....... Kabla ya kuandika Uzi huu... Wadau naombeni kama kuna civil eng student wa UDSM hapa JF atupange kidogo sisi first year tunaotarajia kujiunga.... Na je kama una meet minimum entry requirements utaruhusiwa kuhama faculty..?? example From CIVIL....²......ELECTRICAL

Ahsantenii saanaa....!!!!
 
U never quit from civil engineering! U will regret for sure in the future. It's tough but keep trying its the best engineering field that I know in many aspect.
Dah kwahyo Kakaa unaona bora nibaki civil sio
 
Kwanza, nikupongeze kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa. Civil engineering ni kozi nzuri sana kwa ujumla kwani itakupa ujuzi wa kiuhalisia na sio mambo ya dhahania. Utadesign structure na utaona uhalisia wake ikisimama. Civil engineering inajumuisha sub-courses tatu ambazo ni Irrigation engineering, structural engineering na transportation& geotechnical engineering.
Hivyo basi, mwisho wa mihula minane utakuwa na ujuzi wa kutosha katika nyanja kuu tatu; TRANSPORTATION(highway geometric design, pavement design n maintenance, route location, bridges, "airport, railway n harbour engineering", etc). STRUCTURAL ENG ( Utafahamu vingi kama RC structures, steel structures, timber structures etc). IRRIGATION ENG( Utajifunza kudesign water systems, irrigation systems ktk kilimo, reservoirs n rivers, water quality control, waste water eng, na mazaga meeengi).

Kwa mfumo wa pale UD utafunzwa kwa hatua ya kuanzia chini kabisa mpaka juu na kadri miaka itakavyosonga ndivyo utakavyozidi kuwa nondo. Mtapewa lectures, tutorials na practicals za kutosha kabisa kwani kuna maabara nzuri saaana.
Angalizo ni: KASOME SANA, kozi hii inaongoza kwa kung'atua. Kuna idara ya TGE utaifahamu ukifika pale, kozi zao zina code kama TR334, TR321,TR221,TR112 nk. Hawa watu hawana masihara so jipange. Ukikaza msuli utatoka na GPA nzuri na uelewa wa kutosha( kumbuka civil engineers wako wengi kutoka vyuo vingi na wako vizuri kuliko utakavyofikiria).

Kuhama kozi inawezekana sana na ni rahisi kama ni ndani ya college moja japo sikushauri uhame civil. Cha msingi uwe na sifa stahiki kama ulivosema, min req.
Zaidi karibu sana UDSM.

(Nimeeleza kwa uchache sana, ukiwa na swali waweza uliza ndugu)
 
Thanx Kakaa ivo kuripot apo UDSM wawezaa pokelewa bila cheti cha form six
 
Cha msingi uwe na hata cha form four maana kina picha yako pia. Results slip ya form six pia, kama alivyosema mdau. Mimi binafsi nilitumia result slip ya f6.
Daah poaa ahsantenii sanaaa wadau
 
Cha msingi uwe na hata cha form four maana kina picha yako pia. Results slip ya form six pia, kama alivyosema mdau. Mimi binafsi nilitumia result slip ya f6.
Wametoa form flani ya medical examination.... VP hiyo medical exams naeza fanya kwenye hospital za huku nyumban sio... Au lazma hospital ya chuo
 
Waweza fanya popote, hata mimi kipindi kile nilifanyia kitaa. Labda kama utaratibu umebadilika.
 
Kwanza, nikupongeze kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa. Civil engineering ni kozi nzuri sana kwa ujumla kwani itakupa ujuzi wa kiuhalisia na sio mambo ya dhahania. Utadesign structure na utaona uhalisia wake ikisimama. Civil engineering inajumuisha sub-courses tatu ambazo ni Irrigation engineering, structural engineering na transportation& geotechnical engineering.
Hivyo basi, mwisho wa mihula minane utakuwa na ujuzi wa kutosha katika nyanja kuu tatu; TRANSPORTATION(highway geometric design, pavement design n maintenance, route location, bridges, "airport, railway n harbour engineering", etc). STRUCTURAL ENG ( Utafahamu vingi kama RC structures, steel structures, timber structures etc). IRRIGATION ENG( Utajifunza kudesign water systems, irrigation systems ktk kilimo, reservoirs n rivers, water quality control, waste water eng, na mazaga meeengi).

Kwa mfumo wa pale UD utafunzwa kwa hatua ya kuanzia chini kabisa mpaka juu na kadri miaka itakavyosonga ndivyo utakavyozidi kuwa nondo. Mtapewa lectures, tutorials na practicals za kutosha kabisa kwani kuna maabara nzuri saaana.
Angalizo ni: KASOME SANA, kozi hii inaongoza kwa kung'atua. Kuna idara ya TGE utaifahamu ukifika pale, kozi zao zina code kama TR334, TR321,TR221,TR112 nk. Hawa watu hawana masihara so jipange. Ukikaza msuli utatoka na GPA nzuri na uelewa wa kutosha( kumbuka civil engineers wako wengi kutoka vyuo vingi na wako vizuri kuliko utakavyofikiria).

Kuhama kozi inawezekana sana na ni rahisi kama ni ndani ya college moja japo sikushauri uhame civil. Cha msingi uwe na sifa stahiki kama ulivosema, min req.
Zaidi karibu sana UDSM.

(Nimeeleza kwa uchache sana, ukiwa na swali waweza uliza ndugu)
Nashukuru kwa Maelezo mazuri kwani ata mm nimepangiwa Udsm civil pia
 
afu usiwe na haraka sana au presha,,,stay low and cool....just wait,,vitu vyote ivyo utavifanya tu,,we subiri uchukue admission letter yako na joining instructions...kila kitu unachouliza huku kuhusu bank accounts n etc vipo mle
Admission letter utaipatia wapiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom