austin richard
Member
- Sep 20, 2016
- 67
- 22
usiwaze mkuu tuko pamoja ngoja nikuweke group admin kabisa nimefurrah kuchua kozi moja naweAta mm Mkuu tupo pamoja mlimanii Civil kama vipi ni add Mkuu 0654897353
usiwaze mkuu tuko pamoja ngoja nikuweke group admin kabisa nimefurrah kuchua kozi moja naweAta mm Mkuu tupo pamoja mlimanii Civil kama vipi ni add Mkuu 0654897353
Ukiwahi asubuhi sana hakuna jam,,,au ukisubiri subiri kwanza siku zikatike,,wale wanaopenda shule kwanza waende afu na ww ndo uende,,hakunaga jam baada ya muda huoMbnaa wanadai kwambaa hospital ya chuoo jam
MTU anaeza kunifatia iyo admission letterUkiwahi asubuhi sana hakuna jam,,,au ukisubiri subiri kwanza siku zikatike,,wale wanaopenda shule kwanza waende afu na ww ndo uende,,hakunaga jam baada ya muda huo
na kuhusu admission bora uende sasa hivi kipindi majina yametoka officially...ukienda kwa tarehe iliyopangwa na chuo ya orientation ni msala ..folenii hatareee,,unaeza panic..then cku hyo ya orientation ndo mtapewa joining instructions na kila kitu,,cha muhimu upate hiyo admssion letter na utoe several copies
Admission letter lazma ufate mwenyeweMTU anaeza kunifatia iyo admission letter
Mkuu vp mtu ikiwa cozi yake ni multipurpose mfano civil and irrigation engineering, civil and water resources engineering anaweza kuajiriwa kama mtu civil structures na vise versa ya hivyo? mnacKwanza, nikupongeze kwa dhati kabisa kwa kuchaguliwa. Civil engineering ni kozi nzuri sana kwa ujumla kwani itakupa ujuzi wa kiuhalisia na sio mambo ya dhahania. Utadesign structure na utaona uhalisia wake ikisimama. Civil engineering inajumuisha sub-courses tatu ambazo ni Irrigation engineering, structural engineering na transportation& geotechnical engineering.
Hivyo basi, mwisho wa mihula minane utakuwa na ujuzi wa kutosha katika nyanja kuu tatu; TRANSPORTATION(highway geometric design, pavement design n maintenance, route location, bridges, "airport, railway n harbour engineering", etc). STRUCTURAL ENG ( Utafahamu vingi kama RC structures, steel structures, timber structures etc). IRRIGATION ENG( Utajifunza kudesign water systems, irrigation systems ktk kilimo, reservoirs n rivers, water quality control, waste water eng, na mazaga meeengi).
Kwa mfumo wa pale UD utafunzwa kwa hatua ya kuanzia chini kabisa mpaka juu na kadri miaka itakavyosonga ndivyo utakavyozidi kuwa nondo. Mtapewa lectures, tutorials na practicals za kutosha kabisa kwani kuna maabara nzuri saaana.
Angalizo ni: KASOME SANA, kozi hii inaongoza kwa kung'atua. Kuna idara ya TGE utaifahamu ukifika pale, kozi zao zina code kama TR334, TR321,TR221,TR112 nk. Hawa watu hawana masihara so jipange. Ukikaza msuli utatoka na GPA nzuri na uelewa wa kutosha( kumbuka civil engineers wako wengi kutoka vyuo vingi na wako vizuri kuliko utakavyofikiria).
Kuhama kozi inawezekana sana na ni rahisi kama ni ndani ya college moja japo sikushauri uhame civil. Cha msingi uwe na sifa stahiki kama ulivosema, min req.
Zaidi karibu sana UDSM.
(Nimeeleza kwa uchache sana, ukiwa na swali waweza uliza ndugu)
"Civil and irrigation, civil and water resource"Mkuu vp mtu ikiwa cozi yake ni multipurpose mfano civil and irrigation engineering, civil and water resources engineering anaweza kuajiriwa kama mtu civil structures na vise versa ya hivyo? mnac
Hamna kozi duniani ambayo haina soko kama UNA UJUZI KICHWANI na kama ni mtu wa kujiongeza hasa kwenye kutafuta maarifa na connection.Nipo tofauti na mada lakini napenda kufahamu course ya environment engineering ya hapa ardhi university je inasoko?
Hapo nimekupata mkuu ni kujiongeza tu, maana tukiwa chuoni watu tunapigana pumba kinyama et jina la mwisho la kozi mfano civil and irrigation, kwa maana irrigation ndio limebeba jina la kozi kwa hiyo mtu huwezi akaajiriwa kama civil structure engineer highway engineer hata kama mtu una msingi wa civil kabisa hata coz yako pia imecover ktk structure na mazaga mengine"Civil and irrigation, civil and water resource"
Kwa kifupi hata kama hiyo "civil" isingekuwepo lazima usoma kozi za structural design. Hata ungesoma irrigation eng lazima usoma usome structural design.
So jibu la swali lako, unaajiriwa vizuri kabisa. ILA UJUE KWENYE AJIRA UNAWEZA UKAWA NA DEGREE YA CIVIL NA BADO UKAWA MWEUPE KICHWANI yani mweupe pee!!
Jua chuoni utapewa "ka intro" tu, baada ya hapo utatakiwa ujiongeze mwenyewe kujisomea softwares nk.
Mfano chuoni hutafundishwa kutumia staad pro au prota au etabs ila kwenye ajira(hasa zile zinazo husu design) kama hujui walau moja imekula kwako!!
Sio kweli kwamba jina la mwisho ndio linabeba kozi!!Hapo nimekupata mkuu ni kujiongeza tu, maana tukiwa chuoni watu tunapigana pumba kinyama et jina la mwisho la kozi mfano civil and irrigation, kwa maana irrigation ndio limebeba jina la kozi kwa hiyo mtu huwezi akaajiriwa kama civil structure engineer highway engineer hata kama mtu una msingi wa civil kabisa hata coz yako pia imecover ktk structure na mazaga mengine
Sasa mkuu kuhusiana na kusajiliwa ERB by proffesion utasajiliwa civil au irrigation engineer?? Na muhuri wako utakuaje? Maana kama watu Wa DIT hata kama mtu ata specialize ktk structure au highway ila cheti chake huandikwa civil engineeringSio kweli kwamba jina la mwisho ndio linabeba kozi!!
Kwa kujazia..
Hiyo kozi (Civil and Irrigation engineering)
Ni double major yaani unasoma civil ma irrigation..
Sasa trick iko hapa..
Civil ndio "major" ikimaanisha kwamba unasoma kozi nyingi za "civil/structure/highway" ukilinganisha na kozi za irrigation! (Angalia prospectus ya chuo utathibitisha).
Na Hiyo Irrigation ni "minor" ikimaanisha pamoja na kusoma kozi nyingi za "civil" pia utasoma kozi kadhaa/chache za irrigation!!
Mfano, mtu aliyesoma hiyo kozi pale ATC hawezi kuwa sawa na mtu aliyesoma kozi ya "irrigation and water resources" ya SUA kwenye umwagiliaji/irrigation! Never!
Huyu wa SUA anasoma kozi nyingi za irrigation tofauti na yule wa ATC maana kwake yeye irrigation ndio major tofauti na yule wa ATC ambaye kwake civil ndio major na irrig ni minor!!
So tukirudi kwenye argument yako, jina la kwanza ndio linabeba kozi maana ndio linakua na masomo mengi kwenye degree yako!
Sasa mkuu kuhusiana na kusajiliwa ERB by proffesion utasajiliwa civil au irrigation engineer?? Na muhuri wako utakuaje? Maana kama watu Wa DIT hata kama mtu ata specialize ktk structure au highway ila cheti chake huandikwa civil engineering
nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwanza kwa mwenyezi mungu....... Kabla ya kuandika Uzi huu... Wadau naombeni kama kuna civil eng student wa UDSM hapa JF atupange kidogo sisi first year tunaotarajia kujiunga.... Na je kama una meet minimum entry requirements utaruhusiwa kuhama faculty..?? example From CIVIL....²......ELECTRICAL
Ahsantenii saanaa....!!!!
Kwanza hakuna specialization kwenye degree ya kwanza.. specialization ni masters na phd..
Kwa nnavyojua na kwa jinsi nnavyoona watu wanavyo sajiliwa..
Mfano kama mtu kasoma "Water resource and Irrgation" basi na cheti chake cha ERB kitaonekana hivyo hivyo!!
Wakiamini kwamba una uwezo wa kusimamia miradi ya maji na umwagiliaji bila shida maana una ujuzi nayo kwa mujibu wa cheti!
Kwa kifupi ERB wanaangalia ulichosomea chuoni (kwa mujibu wa cheti chako cha chuo) na ndio maana hao wanaandikiwa "civil engineering" wenda ndio kinacho someka kwenye cheti cha chuo!
Pia wanaangalia wakati unaomba kujisajili je uzoefu wako upo kwenye field gani kati ulizo somea na JAPO SINA HAKIKA ILA pia wanaangalia prefehuurence yako ofcoz wakizingatia na experience yako na cheti chako cha chuo!
Na ndio maana watu wanaomba kuandikiwa "civil eng" wakiamini kama wakiandikiwa "highway" basi watajilimit kwenye fursa..
All in all kwa sasa
Mkuu mimi nlishamaliza chuo mwaka jana pale ATC katika fani ya bachelor's degree in civil and irrigation engineering na tayar nimeshasajiliwa ERB kama graduate engineer, cheti changu cha ERB kimeandikwa civil and irrigation engineering kama engineering decipline, ila tu baadhi ya wadau huwa wananiambia wanakuwa rejected maombi yao pale zinapotokea fursa za civil engineering kavu, unakuta kama unavyosema mtu wa civil kama civil huwa hajajilimit katika fursa za ajira tofauti na yule cheti chake kilichoandikwa highway, sasa cjui kwa mtu cheti chake kilichoandikwa civil and irrigation engineering, alaf pia nlipata kusikia mtu aliesomea cozi ambazo ni multipurpose mfano civil and irrigation engineering au electrical and biomedical engineering akifanya seap program kwa ajili ya kutafuta u professional engineer huwa anafanya moja kati ya hizo, mtu wa civil and irrigation either atafanya civil tu au irrigation tu na muhuri wake utakuwa mmoja kati ya hivyo despite of specialization. Hio imekaaje mkuu?Kwanza hakuna specialization kwenye degree ya kwanza.. specialization ni masters na phd..
Kwa nnavyojua na kwa jinsi nnavyoona watu wanavyo sajiliwa..
Mfano kama mtu kasoma "Water resource and Irrgation" basi na cheti chake cha ERB kitaonekana hivyo hivyo!!
Wakiamini kwamba una uwezo wa kusimamia miradi ya maji na umwagiliaji bila shida maana una ujuzi nayo kwa mujibu wa cheti!
Kwa kifupi ERB wanaangalia ulichosomea chuoni (kwa mujibu wa cheti chako cha chuo) na ndio maana hao wanaandikiwa "civil engineering" wenda ndio kinacho someka kwenye cheti cha chuo!
Pia wanaangalia wakati unaomba kujisajili je uzoefu wako upo kwenye field gani kati ulizo somea na JAPO SINA HAKIKA ILA pia wanaangalia preference yako ofcoz wakizingatia na experience yako na cheti chako cha chuo!
Na ndio maana watu wanaomba kuandikiwa "civil eng" wakiamini kama wakiandikiwa "highway" basi watajilimit kwenye fursa..
All in all kwa sasa kama uko chuo soma umalize haya utayakuta ukimaliza!
Mkuu mimi nlishamaliza chuo mwaka jana pale ATC katika fani ya bachelor's degree in civil and irrigation engineering na tayar nimeshasajiliwa ERB kama graduate engineer, cheti changu cha ERB kimeandikwa civil and irrigation engineering kama engineering decipline, ila tu baadhi ya wadau huwa wananiambia wanakuwa rejected maombi yao pale zinapotokea fursa za civil engineering kavu, unakuta kama unavyosema mtu wa civil kama civil huwa hajajilimit katika fursa za ajira tofauti na yule cheti chake kilichoandikwa highway, sasa cjui kwa mtu cheti chake kilichoandikwa civil and irrigation engineering, alaf pia nlipata kusikia mtu aliesomea cozi ambazo ni multipurpose mfano civil and irrigation engineering au electrical and biomedical engineering akifanya seap program kwa ajili ya kutafuta u professional engineer huwa anafanya moja kati ya hizo, mtu wa civil and irrigation either atafanya civil tu au irrigation tu na muhuri wake utakuwa mmoja kati ya hivyo despite of specialization. Hio imekaaje mkuu?
Ok sawa mkuu, ila coet siku hz wameondoa specialization mfano mtu wa civil and water resources, au civil and structural engineering au civil and highway engineering badala yake cheti cha mhitimu kinandikwa civil engineering tu kwa mujibu wa prospectus yao labda waliliona jambo hilo may beKuna mtu namjua alisoma udsm miaka hiyo na alisoma "civil and water resources" lakini erb kasajiliwa ka "civil"! Na hii ndio sababu nilikwambia sometimes unaweza ukawapa preference yako for as long as haitoki nje ya kitu ulichosomea pamoja na uzoefu!
Turudi kwenye swali lako...
Mfano unafanya seap kwenye kampuni ya consultant anaye deal na majengo na miradi ya maji je utasema unafanya kazi kwenye field moja?
Kwa kifupi kufanya civil pekee au irrg pekee itategemea na sehem uliyoenda!
Kuhusu mhuri sina uhakika sana ila kama nilivyosema for as long as umesoma "civil and irrig" na kwenye cheti cha gradute engineer umesajiliwa hivyo basi kwanza utasajiliwa kama civil and irrigation eng pia utakua una mamlaka ya kupitisha designs au kusimamia miradi ya civil au irrigation!!
Ni ngumu cheti chako cha graduate kikatofautiana na cha PE. Hicho kitu hakipo!! Yani haiwezekan kwenye GE isomeke kama civil engineer alafu kwenye PE isomeke Highway eng may be lakin bado ni ngumu maana cheti cha PE kinatokana na cheti cha GE.
Sasa trick inakuja hapa...
Japo umesajili kama "civil and irrg engineer" lakini umetumia miaka mingi kufanya kazi kama "civil/structural engineer" na hujawahi kufanya kazi yeyote ya irrigation je hata kama erb wamekupa ruhusa ya kudeal na irrigation utaweza ku deal na irrigation wakati huna uzoefu nayo? Je utaweza kutake risk ya kupiga muhuri kwenye design ya mradi wa irrigation wakati by that time hata mtu akisema "crop water requirement" hujui?
Sasa hapo ndipo watu wanajikuta nature ime waselect na kujikuta wakibase sehem moja bila kupenda!
ALL IN ALL ERB hawawezi kukulazimisha ubase sehem moja kama chuo ulisoma civil and irrig na cheti chako cha GE kimeandikwa civil and irrig which automatically hata cheti cha PE nacho kitaandikwa civil and irrig engineer which means una mamlaka ya kufanya kazi yeyote ya civil au ya umwagiliaji! Japo exception itakuja kwenye uzoefu kama nilivyo elezea hapo juu...