One Revolution
Member
- Aug 14, 2015
- 57
- 51
Ngoja nikupe historia kidogoKaka naomba uniweke wazi maana kwasasa Niko dip ya tele maana mazalau ya hawa jamaa yananitia presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Electrical eng
Telecom eng
Comp s na comp eng
It
Hizi kozi zote zinaendana.unaweza soma tele lakini ukafanya kazi za comp au hata za electrical sababu tofauti ni ndogo sana
Sijajua kwa sasahivi ila kipindi hicho tulikuwa tunatofautiana masomo machache mengi tulikuwa tuna randana
Kuhusu swala la ajira hizi kazi zinalipa sababu hakuna maendeleo bila hizo kozi
Mfano ingekuwaje kama hadi sahivi mfumo wa mawasiliano bado ungekuwa 2g?? Mambo mengi sana yangekwama
Maendeleo yanaendana na mawasiliano kiujumla
Sasahivi makampuni ya telecom yanaajiri ma eng wachache sanaa.sababu kazi nyingi wana outsource kwa makampuni mengine ambayo ndio yanafanya kazi za Tx,power na installation(pivotech,maktech,northen na camsat)
So ajira bado zipo
Tena una fursa kubwa ya kuanzisha kampuni maana kazi ni nyingi