Unazania nimegeneralize au mpaka nikupe prospectus?nakuchukulia kama mtu ambaye you are not educated kabisa hata kama una PhD,kaka you are to show the world how well are you educated please go to school you are not educated usilaumu serikali kaka yaani huwa unaongea upupu siku zote stories zako ni fallacy kabisa afu nikwambie kitu kitu ni kigumu kwa mtu husika sio generise mambo please go to school ujifunze nini maana ya kuwa well educated
Unaupport , support tu
Maybe chuo kingine but sio Udsm mzee babaAcha uwongo, chemical and processing engineering mpk 1 ya 8 wanachukua
Sent using Jamii Forums mobile app
Civil Engineering ni Moja ya kozi inferior pale udsm coet .Kwani kichwa cha uzi kinasemaje?
Udsm ilikuwa zaman, sahiv ni kichaka cha vilaza.
kaka nenda shule please go back to school you are not educated watu walio well aducated hawako kama wewe mzee mpaka now elimu haijakusaidia hata kama una PhDUnazania nimegeneralize au mpaka nikupe prospectus?
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Mbona mnanikatisha tamaa jamani kuhusu tele dahSoma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.
Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.
Unasoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?
Kaka naomba uniweke wazi maana kwasasa Niko dip ya tele maana mazalau ya hawa jamaa yananitia preshaMkuu unaijua Telecom?
Inauhusiano gani na mambo ya hacking???
Je upo kwenye industry ya telecom??
Na umuhimu unao uzungumzia ni wa mtu binafsi au nchi kwa ujumla??
Fact
Hapana mtu anayependa kujigamba sema nyie ndo mnakurupuka tu ebooohNa majigambo mengi na wakati waliosoma hapo zamani wala hata hawajigambi, ila hawa wa sasa hivi utadhani ndo wa kwanza kusoma hicho chuo! kaazi kweli kweli.
Unajuaje Kama aijanisaidia?kaka nenda shule please go back to school you are not educated watu walio well aducated hawako kama wewe mzee mpaka now elimu haijakusaidia hata kama una PhD
Kapige hiyo kozi,but pia bado una option nyingi tu
Mkuu hacking skill doesnt belong to telecom. Watu wa CS na CE.Soma Telecom kama unataka kujiajiri mwenyewe, ukitaka uajiriwe bora usome ualimu.
Sijaona umuhim wa telecom nchi hii, vijana wanamaliza telecom hata basic hacking skills hawana, wakitengeneza blog ina muonekano mbaya, hii course sijaona umuhim wake.
Unasoma tele alafu unataka uajiriwe afisa tehama daraja la pili halmashauri ya mbinga, si ujinga huo?
Hawa wanao kutia presha wengi ni wanafunzi kama wewe.Kaka naomba uniweke wazi maana kwasasa Niko dip ya tele maana mazalau ya hawa jamaa yananitia presha
Sent using Jamii Forums mobile app