Ndugu wasomaji
Nikisikitika kupata habari kwamba saivi city council ya dar es salaam wanahitaji mwagizaji mzigo yaani mwenye container aende ofisi za city kujulisha kwamba container yao inatoka na akafanye malipo ya contena kuingia mjini kabla ya container kuingia na isipofanyiwa hivo kuna faini ya miloni moja wakati kwa hali hii sisi wengi tunajua hizi kazi za container kutoka saa ngapi na lini hazina uhakika na kwa ushauri wangu hii proposal sio vizuri kwa sisi waagizaji na ningependa tushirikiane kupeleka hio changamoto kwa haraka iwezekanavyo kwa wahusika kama city council ya dar es salaam
Je maoni yenu yapoje
Asante.