Jamani habari wana jukwaa,naomba mwenye kuzijua hizi tablet za city call kama kuna mtu kashawahi itumia,ina uzuri gani na udhaifu gani,naomba mwenye kuzijua please aniambie zinatengenezewa Hong kong China,kuna rafiki yangu anataka anitumie zina.please mtaalamu azijuaye anipe ashauri.
Karibuni.