Ushapata CPA?. kwa nini usichukue CPA Kwa ufahamu wangu kama sasa huna kazi chukua CPA itakusaidia zaidi kwa hapa bongo ukilinganisha CISA na ACCA lakini kama una kazi tayari unaweza ukasoma ACCA na utakua juu zaidi.
kama unapanga kufanya kazi za audit, Certified Information System Auditor(CISA) ni nzuri sana na kwa sasa ndio inapanda chati,na kwa Tanzania watu wachache sana ndio wanayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.