Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.
Paka huyu mtoto wa kike au wa kiume?
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.
Wakikusikia Wapinga Ukeketaji watakukimbiza wewePaka huyu mtoto wa kike au wa kiume?
Mkisikia Specialists...mmemkazania avumilie wiki moja, wiki ya pili ikiunganika na siku za 'uana anga' je? si ishakuwa mateso hayo?...
Defn; 'uana anga' = kwenda mwezini.
...
Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!...
...
Kikubwa wala usibashane nakutafuta wanasayansi pevuko hapa wewe kama unaona kama ni uzushi you just rape your wife and do.halafu utaona then uje utoe ushuhuda.
kwani mtoto naye anafanya nini wazazi wake wakiwa 'wanafurahishana'?
Wakikusikia Wapinga Ukeketaji watakukimbiza wewe
Acha kabisa maswali yako ya namna hii mkuu
Teh teh teh sasa mi sijajua huyo mtoto ni wa kike au wakiume she/he
Wiki nyingi sana Nyamayao!
Na hasa kunapokuwa na sababu zisizoeleweka kama hizo!
Hadi nikawa nafikiri nirudi kwa CHEUSI, yule wa zamani...!
MOD wamekuwa wakali sana isije kuwa iko shimoni hiyo thread....kuna yule rafiki yetu Engineer kila akipost upupu wake jamaa wanakula....hahahaha hadi raha!
Mkuu naona imetiwa kapuni aisee, nimeitafuta sijaiona kabisa!
Mazee huna nyumba ndogo? wanaume wengine bwana nyie ndio mnaosababisha wanawake watumie nyuchi zao kama silaha! Akisema week wewe mwambie lets make two weeks ili mtoto apone vizuri!
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.
Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?
kwani mtoto naye anafanya nini wazazi wake wakiwa 'wanafurahishana'?
Kufanya tendo la ndoa ni sababu moja wapo kati ya nyingi zinazopunguza kinga ya mwili,
Mtoto huwa anapata kinga ya mwili kutoka katika maziwa ya mama kwa njia ya natural passive immunity, hivyo kitendo cha kufanya tendo la ndoa wakati mtoto ana kidonda kinga ya mama inapungua na mtoto akinyonya maziwa yanakuwa hayana kinga yoyote na kupelekea kidonda kuchelewa kupona.
IKO KITU HAPA!
Kaitaba, we ndo umejaribu kueleza kitu ambacho kinavuta hisia za ukweli wa kisayansi.
Kama ndivyo, basi ni taarifa njema kwwngu na wengine wote jamvini, maana wengi tunaelekea hatukujua.
Lakini je, hizo kinga hushuka ghafla namna hiyo kila muda wa tendo la ndoa?

Jamani, kinga ya mwili siyo kama umeme wa betri za gari au redio ambao hupanda na kushuka kwa sekunde.... bao mbili au tatu kwa wiki kamwe haziwezi kusababisha mwanamke kushuka kinga ya mwili kiasi cha kuharibu ubora wa kinga kwenye maziwa.
Labda hapo niulize swali, ina maana kila ukichapa mama kinga yake inashuka?

Kwa mujibu wa Kaitaba ndivyo hivyo.
Sijui majibu yake yana utafiti gani!
Vinginevyo kama ndivyo, hali hii inatisha.
Kwa mujibu wa Kaitaba ndivyo hivyo.
Sijui majibu yake yana utafiti gani!
Vinginevyo kama ndivyo, hali hii inatisha.
Thanks for relying on one source of information... then you may incline to whatever you wish
Wiki nyingi sana Nyamayao!
Na hasa kunapokuwa na sababu zisizoeleweka kama hizo!
Hadi nikawa nafikiri nirudi kwa CHEUSI, yule wa zamani...!