Circumsicion IMETUVURUGA...

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?
 
...si kweli! ndio yale yale ya mama mjamzito kukatazwa kula mayai, au mtoto kubemedwa!
 
wakuu jamani mila zipo!!

ndugu yangu nikweli na ukikaidi jaribu utakuja kushuhudia.

Vile wewe usivyoweza kufanya wakati ukiwa na kidonda uumeni vivi hivyo kwa mtoto.Unajua tumeng'ang'ania sanaa sayansi na kusahau kuwa kuna mila na desturi za kiafrica.
Kikubwa wala usibashane nakutafuta wanasayansi pevuko hapa wewe kama unaona kama ni uzushi you just rape your wife and do.halafu utaona then uje utoe ushuhuda.
 
Wiki moja sio ndefu. Kubali for the sake of her hata kama huamini. Kusanya nguvu:)
 
Last edited:
wakuu jamani mila zipo!!

ndugu yangu nikweli na ukikaidi jaribu utakuja kushuhudia.

Vile wewe usivyoweza kufanya wakati ukiwa na kidonda uumeni vivi hivyo kwa mtoto.Unajua tumeng'ang'ania sanaa sayansi na kusahau kuwa kuna mila na desturi za kiafrica.

...ehh :)

kwani mtoto naye anafanya nini wazazi wake wakiwa 'wanafurahishana'?

Kikubwa wala usibashane nakutafuta wanasayansi pevuko hapa wewe kama unaona kama ni uzushi you just rape your wife and do.halafu utaona then uje utoe ushuhuda.

...hee, yamekuwa hayo tena? kwenye ndoa hakuna rape bana.
 
kurape ninavyofahamu kwa uwezo wangu mdogo ni kufanya mapenzi au tendo la ndo na mwenzi wako bila ridha yake.

Hivyo huyu ndugu yetu anataka kula kitu mywife wake anasema hakuna kula au kumega mpaka mtoto apone sasa ukilazimisha so ndo kurape jamani?au nikufanyaje?
 
Wiki moja sio ndefu. Kubali for the sake of her hata kama huamini. KUasnya nguvu:)

Lakini nashindwa kupata connection kati ya mtoto na mambo ya chumbani kwetu, na fortunately mtoto analala chumba kingine cha peke yake!
 
kurape ninavyofahamu kwa uwezo wangu mdogo ni kufanya mapenzi au tendo la ndo na mwenzi wako bila ridha yake.

Hivyo huyu ndugu yetu anataka kula kitu mywife wake anasema hakuna kula au kumega mpaka mtoto apone sasa ukilazimisha so ndo kurape jamani?au nikufanyaje?

...upo sawa, nimekuchemsha tu kidogo. Ila sijui kwa Tanzania iwapo hilo ni kosa la jinai ndio maana nikasema "kwenye ndoa hakuna rape", -specifically kwa ndoa za kikwetu.
 
mie nilimfanyia baby hivyo lakini tuliendelea kuserebuka kama kawaida, lakini kama mamake amekwambia hayo c usubiri tu, hapo umeona wiki kama mwaka vile....
 
Wiki nyingi sana Nyamayao!

Na hasa kunapokuwa na sababu zisizoeleweka kama hizo!

Hadi nikawa nafikiri nirudi kwa CHEUSI, yule wa zamani...!
 
wakuu jamani mila zipo!!

ndugu yangu nikweli na ukikaidi jaribu utakuja kushuhudia.

Vile wewe usivyoweza kufanya wakati ukiwa na kidonda uumeni vivi hivyo kwa mtoto.Unajua tumeng'ang'ania sanaa sayansi na kusahau kuwa kuna mila na desturi za kiafrica.
Kikubwa wala usibashane nakutafuta wanasayansi pevuko hapa wewe kama unaona kama ni uzushi you just rape your wife and do.halafu utaona then uje utoe ushuhuda.

This is absolutely wrong and misleading!!! i have moe than enough evidence... Lets help each other
 
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?

PJ

Kama ungekuwa wewe ndio umetahiriwa ingekuwa sawa kwani kidonda hakitakuruhusu kufanya hivyo... Hakuna uhusiano wowote kati ya kutahiri mtoto na wewe kula tunda la halali!!!

hizi imani zipo, pia kuna watu wanasema hata ukitoga masikio mtoto basi usinahii na mkeo...

Pengine labda chakuangalia ni mazingira ya enzi hizo ambapo, suala la hygiene lilkuwa tofauti na labda watu walikuwa wanalala na watoto; maybe baad aya tendo watu walikuwa wanahudumia watoto [ikiwa ni pamoja na kushika majeraha] bila kunawa mikono na hivyo kuwapa vimelea vya wadudu.

Muelimishe mkeo, na pia jitahidi sana kuuliza watoa afya; jaribu pia kuhimiza kuacha imani nyingi kwani kuna siku unaweza ukaambiwa makubwa zaidi
 
Last edited:
Wiki nyingi sana Nyamayao!

Na hasa kunapokuwa na sababu zisizoeleweka kama hizo!

Hadi nikawa nafikiri nirudi kwa CHEUSI, yule wa zamani...!

yaani wiki ndio ufikire yote hayo? kweli mwanaume kiumbe tofauti kabisa.
 
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?

Hamruhusiwi na nani?:confused:

Hakuna ukweli wowote juu ya madai ya mkeo, labda ana sababu zingine za kukunyima unyumba!:rolleyes:
 
acha ukwaru kwaru mkuu, kwani wiki moja kitu gani
mimi nakubaliana na mkeo kutokana na imani za makabila fulanifulani
hata kabila letu linashauri jambo kama ili pia
 
Pole sana Paka Jimmy,mi nakushauri uvumilie tuu,ingawaje sijui ukweli wowote kuhusu ilo lakini ninachokuomba ni kwamba huyo ni mkeo,na huna budi kuheshimu fikra zake,vile vile c chombo cha starehe kwani hata shamba nalo hupumzishwa,sasa vipi huyo mkeo akifanyiwa operation na kutakiwa mapumziko ya mwaka mzima?
 
Yaani mkuu wiki moja umeona ni muda mrefu sana kuvumilia? Hata kama hakuna ukweli wowote wa kisayansi kwenye madai yake, wewe vumilia tu mzee. Huyo ni mkeo mtaendelea kwa raha zenu mtoto akishapona. Kumwadhibu (hata kama ni kidogo) sio sahihi.
 
Tumemfanyia mtoto wetu circumsicion.

Mke wangu anasema haturuhusiwi kufanya tendo la ndoa hadi wiki moja ipite, maana tukithubutu tu, mtoto atachukua muda mrefu zaidi kupona. Mi sikubaliani na madai yake na nilifikia hatua ya kumwadhibu kidogo, lakini ameshikilia msimamo!
Je wanaJFkuna ukweli gani juu ya madai ya huyu mwanamke?

Mazee huna nyumba ndogo? wanaume wengine bwana nyie ndio mnaosababisha wanawake watumie nyuchi zao kama silaha! Akisema week wewe mwambie lets make two weeks ili mtoto apone vizuri!
 
Mazee Jimmy piga puli tu ktk hiyo wiki moja. Na si lazima mtiane...anaweza hata kukupa kichwa (head/ blowjob).....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom