Cips mwanza ...

Nicky nicky

Senior Member
Aug 20, 2011
106
9
poleni majuku wote wadau wa jukwaa hili hasa wale ambao ni procurement professionals.
Kwa ufupi,napenda kutumia nafasi hii kuwatafuta wote ambao wanajiandaa na mitihani ya chartered Institute of Procurement and Supply hasa waliopo MWANZA. Binafsi nataraji kufanya mitihani hiyo hapo mwakani katika L4.Lengo ni kuangalia namna ya kudiscus maswali na mambo yote muhimu juu ya cips exams.Pia kuangalia namna ya usomaji kwa maana namna ya kupata material nakubadilishana uzoefu na wale waliokwisha tangulia kufanya mitihani hiyo.Hii yote inalenga kutengeneza group discusion kwa wanamwanza.
kwa yeyote aliye aware na cips na anajiandaa au anampango wa kufanya mitihani ya cips toka mwanza,naomba tuwasiliane kupitia PM.Asanteni sana na ninawatakia utekelezaji mwema wa majukumu yenu.
 
Back
Top Bottom