B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Jan 21, 2015 #2 Safi sana nilikua nakata hizi picha nabandika kwenye " book la picha"
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 21, 2015 #3 babacollins said: Safi sana nilikua nakata hizi picha nabandika kwenye " book la picha" Click to expand... Tulikuwa tunaita diary
babacollins said: Safi sana nilikua nakata hizi picha nabandika kwenye " book la picha" Click to expand... Tulikuwa tunaita diary
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Jan 21, 2015 Thread starter #4 Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 21, 2015 #5 Salamander said: Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini? Click to expand... 10th November 1975
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 21, 2015 #6 Sikuwepo, na sitakijutia kuwepo enzi hizo za UJIMA, to hell with u long 4gatten guyz.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 21, 2015 #7 Gwangambo said: Sikuwepo, na sitakijutia kuwepo enzi hizo za UJIMA, to hell with u long 4gatten guyz. Click to expand... Kesho ukiamka pitia hizi post zako Gwangambo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Gwangambo said: Sikuwepo, na sitakijutia kuwepo enzi hizo za UJIMA, to hell with u long 4gatten guyz. Click to expand... Kesho ukiamka pitia hizi post zako Gwangambo
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,375 Reaction score 111,702 Jan 21, 2015 #8 Salamander said: Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini? Click to expand... Hizo kumbi za sinema ziliendelea kuwepo hadi mwanzoni mwa miaka ya 90... Mathalani pale Drive Inn (US Embassy kwa sasa) kulikuwa na ukuta mkubwa na wakati mwingine sinema zilikuwa zaoneshwa bure nyakati za usiku... Walalahoi nyakati za usiku walikuwa wanajimwaya katika ule uwanja pembeni na nyumba za Tanesco, wengine pale ilipo Zantel sasa...
Salamander said: Mmeona hiyo tarehe ya kwenye gazeti lakini? Click to expand... Hizo kumbi za sinema ziliendelea kuwepo hadi mwanzoni mwa miaka ya 90... Mathalani pale Drive Inn (US Embassy kwa sasa) kulikuwa na ukuta mkubwa na wakati mwingine sinema zilikuwa zaoneshwa bure nyakati za usiku... Walalahoi nyakati za usiku walikuwa wanajimwaya katika ule uwanja pembeni na nyumba za Tanesco, wengine pale ilipo Zantel sasa...
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 21, 2015 #9 Salamander said: Click to expand... Ukumbusho mzuri!