Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
siku moja baada ya rais kutangaza "eti" kuna wafanyabiashara wameficha sukari maeneo ya mbagala na tabata habari zikatoka "eti" sukari imekamatwa maeneo hayo kweli
swali langu kama rais alikwishajua hao jamaa wameficha kulikua na haja gani ya kutafuta kiki kwa kutangaza badala ya wanausalama kwenda kukamata hiyo sukari moja kwa moja bila mbwembwe za mkuu kuanza kutangaza
swali la pili mkuu akisema ikikamtawa itagawiwa bure je keshatangaza tutaanza kugawiwa lini? kama wasipoigawa kama alivyojinasibu hapo ndio nitajua ilikua movie tu ya mkuu