Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 490
- 532
kwahiyo bora nilipe kwa cif kuliko fob in order to avoid extra price?This is a global shipping terms which use in international trade. CIF means Cost Insurance and Freight. That means shipper/Trader has to pay the Cost of shipment up to the ship, Insurance cost of cargo and Freight cost up to destination port. FOB stands for Free On Board which means shipper/trader pays only costs up to the ship and Insurance cost, but freight charges is payed by the Buyer/Consignee
Hivi nikiagiza gari kwa C & F kuna ubaya wakuu? Hiyo insurance naona kama inaongeza gharama bure maana possibility ya risk wakati wa kuisafirisha ni ndogo sana au ni sheria lazima tuagize kwa CIF?
Hakuna ubaya unaagiza bila insurance,sema insurance sio kubwa sana haizidi USD100 kwa hiz gari zetu za saloon.
inawezekana but utakua ni ubahili usio na maana,Hivi nikiagiza gari kwa C & F kuna ubaya wakuu? Hiyo insurance naona kama inaongeza gharama bure maana possibility ya risk wakati wa kuisafirisha ni ndogo sana au ni sheria lazima tuagize kwa CIF?
ambayo ni kama 2m ikiwa included ktk kukokotoa ushuru. Kahela kazuri
Saving ya $100 kwenye CIF haliwezi kuokoa Tzs 2Mil kwenye ushuru mkuu
Wrong, FOB does not include insurance. CIF does, come on, it's in the acronym.This is a global shipping terms which use in ...FOB stands for Free On Board which means shipper/trader pays only costs up to the ship and Insurance cost
"likiwa huko Japan" is misleadingly ambiguous. FOB ina include gharama za gari pamoja na kulitoa pale linapouziwa (kibongo bongo 'yard') kulipeleka na kulipandisha juu ya meli (boarding costs) kwenye bandari litakapoondokea.Mkuu fob ni gharama za gari lenyewe likiwa huko japan(abroad)
Not quite. Really hakuna kitu ambacho dealer analipia hapa, ni wewe mnunuzi ndio utakuwa umelipia ndani quote utakayopewa and that should reflect on the relative magnitude btn FOB and CIF quotes. So let's be precise, asije akalizwa mtu halafu akasema kapata michongo JF....means shipper/Trader has to pay the Cost of
Nimeamini kweli Jf is for great thinkers,wakuu nimeeleweshwa vizuri tofauti btn CIF and FOB prices,kuna yeyote anaweza kunijuza ni vipi nitaweza lipia gari na ni kampuni gani inayoaminika kufanya nayo biashara?
Kampuni ya Forwad japan inaaminika na vile vile unaweza ukatumia tradecarview kununua gari ila hakikisha unalipa ya paytrade kwa usalama wa gari lako maana kuna baadh ya makampuni pale tradecarview ni matapeli(wanigeria)
Nimeamini kweli Jf is for great thinkers,wakuu nimeeleweshwa vizuri tofauti btn CIF and FOB prices,kuna yeyote anaweza kunijuza ni vipi nitaweza lipia gari na ni kampuni gani inayoaminika kufanya nayo biashara?
Kampuni ziko nyingi, ila zenye kuaminika ni chache. Kuna makampuni yenye uaminifu kama vile Kobe Motor Company, Auto Link Japan n.k.. Ila ni vizuri kupata testimony kwanza kwa watu kabla hujafanya nao biashara. JF pia ni mahali pazuri pa kuuliza uhalisi au ufeki wa makapuni hayo, kwani hapa pia wanapita dealers wengi sana
asante sana mkuu,kama kuna mahali nitakwama nitakupm ili uniwezeshe kufanikisha ndoto yangu