Siku hizi hawa jamaa mimi naona wanataka kumtumia mzee kichaka katika kuvuna tujisenti tu. Inakuwaje wakae weeee hadi baada ya kupata publisher ndio wanaandika kitabu kuhusu uvundo wa huyo muheshimiwa. Kuna wale wengine hadi wakishapigwa ndevu chini serikalini ndio wanaandika vitabu. yes, tunajua mtu mzima kaharibu, na nina imani mwenyewe pia anaomba mungu siku hizi mia na ushee ziishe ili akajipumzikie.
Lakini kama wangekuwa na maneno ya kuilaumu serikali, kwa nini wasiyaseme hivi hivi tu, hadi yaambatane kitabu. Ni ujanja wa kutengeneza tujisenti huoo!!