"CIA Was Forced By White House!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"CIA Was Forced By White House!"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmushi1, Aug 6, 2008.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Breaking News ni kwamba CIA Walifosiwa na WH ku FORGE waraka wa kuonyesha kuwa Saddam Hussein wa Iraki alikuwa na UHUSIANO NA ALKAEDA....NA PIA KUWA ANA SILAHA ZA MAANGAMIZI!
  Pia CIA nao wanadai barua ilifekiwa na WHITE HOUSE.
  Na nyie huko BONGO MUANZE KAZI YA KUULIZA MASWALI YA HAO WANAUSALAMA AMBAO WENGI WAO NI MAFISADI!
  Kama CIA AMA WHITE HOUSE wako accountable kwa wananchi ni kwanini wanausalama wetu NA IKULU wasiwe accountable?
   
  Last edited by a moderator: Aug 6, 2008
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Ron Suskind ni mtunzi maarufu ambaye nilichaguwa kitabu chake kwenye kozi yangu hap...Kitabu chake maarufu kilichonifanya nimzimie huyu jamaa kwa sana kinaitwa .."A HOPE in UNSEEN" Kitabu kinachohusu maisha ya mmarekani mweusi anayeitwa Cedric Jennings.
  Suskind ametowa kitabu chenye madai kuwa kulikuwa na intelligence kutoka Iran za kuwasaidia Marekani kumkamata Bin Laden lakini Bush akapuuzia.
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siku hizi hawa jamaa mimi naona wanataka kumtumia mzee kichaka katika kuvuna tujisenti tu. Inakuwaje wakae weeee hadi baada ya kupata publisher ndio wanaandika kitabu kuhusu uvundo wa huyo muheshimiwa. Kuna wale wengine hadi wakishapigwa ndevu chini serikalini ndio wanaandika vitabu. yes, tunajua mtu mzima kaharibu, na nina imani mwenyewe pia anaomba mungu siku hizi mia na ushee ziishe ili akajipumzikie.
  Lakini kama wangekuwa na maneno ya kuilaumu serikali, kwa nini wasiyaseme hivi hivi tu, hadi yaambatane kitabu. Ni ujanja wa kutengeneza tujisenti huoo!!
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu usisahahu kuwa Marekani ni Taifa lenye nguvu...Na kwa kusema ukweli...Bush amepelekea matatizo mengi sana na migawanyiko na dunia haitaki migawanyiko tena.
  Hatutaki watu wenye siasa kali..Iwe ni waislam wenye siasa kali ama hata wakristo wenye siasa kali...WE ARE ONE PEOPLE...NA YEYOTE MWENYE KWENDA KINYUME NA HAYO...NI MWENYE KWENDA KINYUME NA UBINADAMU...HUYO HAFAI KWENYE JAMII.

  Kuhusu kuandika kitabu...Ndio hapo unatakiwa kujuwa kuwa ni demokrsia...Sasa mimi hapa jf nafungiwa...Sembesu niandike kitabu?
  Kuna walioandika vitabu...Hata yule msaidizi wake Bush wa karibu aliyekuwa mwandishi wa habari wa Ikulu naye aliandika kitabu na naona yuko upande wa Obama kwa sasa na alisema kabisa kuwa waandishi wa habari wa fox news walikuwa wanafundishwa na white house namna ya kusema..Kwa ujumla news zilikuwa manipulated sana tu.

  Kuna chachu ya mabadiliko hapa marekani...Na kwasababu Historia yetu inatuonyesha kuwa marekani ndio Taifa kubwa linaloshape historia ya dunia kwa kiasi kikubwa...Basi nimeonelea kuwa badala ya kusubiri na kufundishwa historia kwa watoto wetu darasani wa kizazi kijacho..Nimeonelea tuitumie jf kuandika historia ya dunia na impact yake Afrika kwenye karne hii mpya hususan Tanzania yetu.
   
Loading...