CIA report: Israel will fall in 20 years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CIA report: Israel will fall in 20 years

Discussion in 'International Forum' started by Kitia, Mar 14, 2009.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  International lawyer Franklin Lamb

  A study conducted by the Central Intelligence Agency (CIA) has cast doubt over Israel's survival beyond the next 20 years.

  The CIA report predicts "an inexorable movement away from a two-state to a one-state solution, as the most viable model based on democratic principles of full equality that sheds the looming specter of colonial Apartheid while allowing for the return of the 1947/1948 and 1967 refugees. The latter being the precondition for sustainable peace in the region."

  The study, which has been made available only to a certain number of individuals, further forecasts the return of all Palestinian refugees to the occupied territories, and the exodus of two million Israeli - who would move to the US in the next fifteen years.

  "There is over 500,000 Israelis with American passports and more than 300,000 living in the area of just California," International lawyer Franklin Lamb said in an interview with Press TV on Friday, adding that those who do not have American or western passport, have already applied for them.

  "So I think the handwriting at least among the public in Israel is on the wall...[which] suggests history will reject the colonial enterprise sooner or later," Lamb stressed.

  He said CIA, in its report, alludes to the unexpectedly quick fall of the apartheid government in South Africa and recalls the disintegration of the Soviet Union in the early 1990s, suggesting the end to the dream of an 'Israeli land' would happen 'way sooner' than later.

  The study further predicts the return of over one and a half million Israelis to Russia and other parts of Europe, and denotes a decline in Israeli births whereas a rise in the Palestinian population.

  Lamb said given the Israeli conduct toward the Palestinians and the Gaza strip in particular, the American public -- which has been voicing its protest against Tel Aviv's measures in the last 25 years -- may 'not take it anymore'.

  Some members of the US Senate Intelligence Committee have been informed of the report.
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Naona ripoti hii ni sawa na ya yule professa wa kirusi alie tabiri kugawanyika kwa Marekani ktk mafungu mafungu ifikapo 2012.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama Baba (Marekani) inaanza kuanguka kiuchumi, je mtoto (Israel)? Israel ni Marekani, bila Marekani hakuna Israel -- FULL STOP! na Marekani inalazimishwa kutokana na Jewish lobby.Lakini ma-financiers wakubwa wanaoendesha Jewish lobby hiyo wako katika wakati mgumu kufilisika kutokana na hikli sakata la kuanguka uchumi wa Marekani. Myahusi mmoja wao, Bernard Madoff yuko jela kwa utapeli wa hali ya juu dhidi ya Mayahuidi wenzake. Inasemekana ma-financier wengi watamfuata na ndiyo hasa itakuwa mwisho wa Israel.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,874
  Likes Received: 83,352
  Trophy Points: 280

  Umesema kweli kabisa. Israel inaitegemea sana US kwa mapesa wanayopewa kila mwaka zaidi ya $3 billion na pia Wamarekani wengi wameanza kuhoji mambo mbali mbali kuhusu Israel ambayo miaka ya nyuma walikuwa hawayahoji. Na mwaka huu kutokana na hali mbaya ya kiuchumi ya Marekani naona pesa hizo zitatolewa kimya kimya na pia zinaweza kupunguzwa. Na kama info ikivuja kwamba wamepewa tena mapesa chungu nzima basi kutakuwa na mjadala mkubwa wa uhalali wa kufanya hivyo huku mamilioni ya Wamarekani wakiwa katika hali mbaya ya kiuchumi.
   
 5. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  litakuwa jambo la kushangaza sana. taifa teule litakuwa halipo?
  dini ya kikristo inaweza kuathirika. na hii itasababisha kusambaa zaid kwa uislam na dini zingine kama vile dini zetu za asili

  waisraeli na supporters wao tangia zamani wangejaribu kufa na kupona kutafuta namna nzuri ya amani ya kuishi pamoja na wapalestina/waarabu. leo hii kusingekuwa na utabiri wa taifa hilo kuanguka.
  kwasasa ni too late. waarabu hawatokaa wawasamehe kwa kitu mbaya waliyofanyiwa
   
 6. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Lakini haijafika bado, kwa hiyo utabiri hautatimia mpaka ifike hiyo 2012
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Uislamu hauhitaji kuanguka kwa Israel ili usambae,Uislamu ulikuwapo, ukawepo,upo na utakuwepo mpaka dunia ya mwisho.
   
 8. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio mara ya kwanza kwa Israel kutabiriwa kuporomoka ingawa hii ya sasa hivi inaweza kuwa na mvuto wa kipekee hasa ukiangalia jinsi wanavyojaribu kushawishi wengine kugomea mkutano wa Durban II.

  Bahati nzuri kwa Israel kama kawaida yao ni kuwa kuanguka kwao ingekuwa rahisi zaidi kutokea kama Republican wangeendelea kuwepo madarakani na kuipa Israel a blind support. Lakini kwa vile ni Obama ndio yupo madarakani, sio ajabu makubaliano yakafikiwa ambayo yataiwezesha Israel kubaki kama nchi kwa mfumo ambao pengine utakuwa tofauti na tunaoufahamu hivi sasa, na Wapalestina nao kupata nchi yao.

  Sababu kubwa ya kuwepo kwa nchi ya Wayahudi bado ina mvuto mkubwa wa nchi za magharibi ingawa nyingi hazifurahishwi na ubabe wa Israel kwa Waarabu.
   
 9. Netanyahu

  Netanyahu Senior Member

  #9
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sidhani hii repoti ni ya CIA maana arguments zake ziko below sea level.Nadhani ni maoni tu ya mwandishi ili auze kagazeti kake.

  Israeli kinachowafanya wasisambaratike kama nchi ni kiwango cha juu cha nationalism spirit walichonacho.Hakuna nchi popote duniani yenye kiwango kile.Urusi,makaburu wa Afrika ya kusini ziliwezekana sababu kiwango chao cha nationalism kiko chini mno ndio maana hata urusi ilisambaratika na hata marekani yaweza sambaratika.Hata China haijafikia kiwango cha nationalism spirit walichonacho wayahudi.

  Kuwepo kwa Israeli hakutegemei fedha za ndani ya Israeli au nje ya Israel bali moyo wao usiotikisika wa utaifa.Ndio maana hata kivita waweza kuwashinda mabilionea wa kiarabu sababu moyo wa nationalism kwa waarabu hauko strong kama wa waisraeli pamoja na mipesa yao na population yao kuwa kubwa mno kuliko Israel.

  Hata Palestina wale wapalestina wa ndani na nje ya palestina hawana nationalism spirit kama waliyonayo wayahudi.Suala la Palestina wanaolishikia bango sana si wapalestina wa palestina bali waislamu wenye siasa kali ambao wanazingatia mafunzo ya kurani ya kuangamiza wayahudi kwa maagizo ya kidini zaidi kuliko kisiasa.Hata ukifuatilia vyombo vya habari utaona kuwa wakereketwa wa Palestina ni watu wa nje ya palestina kama vile Raisi wa Iran,Osama bin Laden,Raisi wa Syria n.k Hao ndo wako tayari ku-toa resources zao na silaha na watu kuipigania palestina.Wakati watetezi wakuu wa Israeli ni wayahudi wenyewe na ndio hutoa pesa,silaha na kujitoa wenyewe kupigania nchi yao hawaajiri mgeni kuwasaidia kama wapalestina wanavyofanya kuajiri hata wa kujitoa muhanga toka mataifa mengine.

  Hata wa kuandamana kuwatetea wapalestina ni kawaida ya wapalestina kuajiri vibaraka wa nje kwa kuwakatia posho vibaraka wahamasisha maandamano kupitia network zao.Niliona maandamano Dar es salaam wakati fulani ya kuunga mkono wapalestina ambayo hakuwepo mpalestina hata mmoja pamoja na kuwa Dar es salaam wako wapalestina wengi niliona wamejaa waswahili toka vimisikiti vya vichochoroni wakiwa na jazba za kelele za takbir lakini bila kuwepo wapalestina.Yaani waswahili walikuwa wakishindana kwenye maandamano kuonyesha nani mkereketwa zaidi wa Palestina wakati wapalestina walikuwa kwenye maduka yao wakiendelea na biashara zao kutengeneza pesa bila kujiunga na huo ukereketwa wa palestina wakawaachia waswahili wa misikitini ya vichochoroni ambao wengi wao hawakusoma na hata ukiwauliza Palestina kwenye Ramani iko wapi Afrika,Asia,Ulaya au wapi hawajui.

  Watetezi wakuu wa palestina si wapalestina wakati watetezi wakuu wa taifa la Israeli ni wayahudi wenyewe ndio maana Israeli kusambaratika ni ndoto za mwendawazimu wakati Palestina,Syria,Iran,Saud Arabia,Misri,Moroco,Sudan,Iraq n.k kusambaratika kama mataifa ni kazi ndogo tu ni suala tu la muda maana watu wake hawana utaifa sana wa hata kufia wakipigania nchi zao.Mtaalamu mmoja wa vita wa Israeli aliwahi kusema kuwa Waarabu wengi wako tayari kufia wakipigania dini ya kiislamu lakini sio nchi zao kwa hiyo ukiamua kuwavurumisha kivita nchini kwao ni kazi ndogo tu kuwabomoa maana kinachowaunganisha si utaifa bali ni dini.

  Kuhusu waisraeli kuhamia nchi zingine sio hoja myahudi popote alipo duniani ni mtetezi,mlinzi na mpiganaji wa taifa la Israel hata umpe uraia na hati ya kusafiria.Hata kama ndani ya Israeli wabaki watu kumi wengine wote wahamie mataifa mengine bado hao wengine walioko nchi zingine wataendelea kuhakikisha Israel inakuwepo kwa kui-support kifedha,kivita n.k
  Wakati nchi nyingine ikiwemo Tanzania mtu akihama Tanzania na kuhamia nchi nyingine mfano Marekani wakampa uraia na passport ya kusafiria ya Marekani basi utaifa wake kwa Tanzania ndio kwaheri.Unatimia kwake ule msemo wa maskini akipata ****** hulia mbwata!!!!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wajameni naomba niwe mkweli... hiyo riposti sijaielewe na nimeshindwa ku-connect the dots kuona practicability yake

  Kuna yeyote anaweza nielezea japo kwa paragraph moja maana yake?
   
 11. M

  Mtuwamungu Senior Member

  #11
  Mar 15, 2009
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwakatojofu uwepo wa Ukristo hautegemei kuwepo au kutokuwepo kwa taifa la Israeli kama unavyoelewa. Kwa taarifa yako, taifa la sasa la Israeli lilianza juzi tu mwaka 1948. Kabla ya hapo Waisraeli walikuwa wamesambaa uhamishoni Marekani, Urusi na kwingineko duniani. Wakati huo wote kabla ya taifa la Israeli kuundwa upya Ukristo ulikuwepo. Kwa hiyo kutokuwepo kwa taifa hilo kama kweli itatokea hakutaathiri kuwepo kwa Ukristo. Kwanza hata sasa Israeli haina wakristo wengi ukilinganisha na wafuasi wa dini ya Kiyahudi na Uislamu. Hata katika mgogoro uliopo sasa huko Israeli unahusishwa zaidi na wafuasi wa dini hizo mbili kwa sababu ya uwingi wao. Taifa la Israeli lililopo halifungamani kwa namna yoyote na dini ya Kikristo na hivyo taifa hilo halichangii chochote kuwepo kwa Ukristo duniani.

  Ukristo utaendelea kuwepo kwa sababu kuwepo au kutokuwepo kwake hakutegemea kuwepo kwa watu wanaofuata dini ya Kiyahudi. Umuhimu wa Israeli kama eneo (hata kama eneo hilo halitakuwa taifa) utabaki katika maana ya kuwa eneo hilo ni la kihistoria kwa imani hiyo ya Kikristo kama ilivyo kwa dini ya Kiyahudi na Uislamu.

  Ingawa wapo Wakristo wanaomini kijumlajumla tu kuwa taifa teule ni Israeli kama nchi ilivyo sasa, ukweli ni kwamba taifa teule katika dini ya Kikristo ni watu wanaomwamini Mungu aliyejifunua katika Yesu Kristo. Yeyote anayeamini kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu na kumpokea moyoni mwake kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake, huyo ni sehemu ya taifa teule la Mungu. Na sifa ya kuwa taifa teule la Mungu haitegemea mahali ambapo muumini huyo anaishi. Anaweza kuwa anaishi Israeli au nje ya Israeli popote duniani na bado akawa sehemu ya taifa teule la Mungu.

  Mwisho naomba nikiri hapa kuwa haikuwa nia yangu kuzungumzia dini kwa maana ya kuzusha mabishano kati ya dini moja na nyingine. HNia yangu ilikuwa kujaribu kujibu hoja ya ndugu yangu Mwakatojofu. Hata hivyo kama itatokea mwana JF akakwazika na maelezo yangu haya, basi natanguliza kuomba msamaha kwa hilo.
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,600
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Baadhi ya maelezo yako ni kweli lakini umepamba mno...I mean umeongezea chumvi ya kipropaganda...Hivi bila ya USA na UK Israel ingeanzishwa mwaka 1948? Hayo mataifa mawili yakiamua kulinda hata kama ni mkoa mmoja tu hakuna atakeyeweza kupinga...Big chunk ya bajeti zao zinaihusisha Israel na hii ni kwasababu ya HOLOCAUST....Hata Darfur wanaweza wakafanywa taifa kubwa kama wakiamua.
  Kutokana na Biblia kwa kitabu ambacho pengine ni maarufu kuliko vitabu vyote duniani...Then unaweza kuona ni rahisi sana kwa mambo mengi kuwa justifiable machoni pa wanadamu wengi.
   
 13. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Israel Will Never Fail.

  Jews Investments are diversified, They Knew that one day the Financial system may collaps.

  Jews now are Havely Investing in Politics and that is the smart way to go.

  Without Jews Obama wouldnt be a US president, He was placed there to start to open the window for Jewish to Run for US President in the future.

  All the powerfull people behinde Obama are Jews. Let me mention few

  Rahm Emmanuel - Chief of Staff
  David Plouffe - He was his campain Manager
  David Axeroid - His Chief Stragetiest
  Peter R Orszag Office of Management & Budget

  Well if you go in senate all the powerfull senaters and congresman are jews

  Chuck Schumer
  Bonie Frank
  and in Repulican side you have Erick Cantor which is the Jew

  In short there is a lot of Jewish in senate and Congress than you would though.

  As long as they still controlling the USA politics
  they will never fail.
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  "Israel Will Never Fail.

  Jews Investments are diversified, They Knew that one day the Financial system may collaps.

  Jews now are Havely Investing in Politics and that is the smart way to go...."

  _______________________________
  _______________________________

  Leokweli: Are they investing in politics or in war and armaments? Which politics -- that of bombardment, destruction and killing? How many countries/political parties has it reaped from its investments?

  Remember Madoff, one of the Jews -- he conned fellow Jews of over $50 bn.
  It's said much of that lost amount belonged to Washington's Israel lobbysts. Did you mean such kind of investment?

  NYSE and the DOW and most of the banks that have gone bust are controlled by Jews and right now they are being bailed out by money from China! Yes China, of all countries! Why didnt the money come from Israel, the country that "will never fail?"
   
  Last edited: Mar 15, 2009
 15. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  hizo ni ndoto za alinacha, mtalala milango wazi kwa kuamini ndoto za mlevi mmoja wa cia. Israel haitakuja ianguke hata siku moja, na ikianguka basi ndo mwisho wa dunia. kwa kifupi, kama ni kweli watu wanatabiri hivo, basi miaka hiyo wanayotabiri ndo mwisho wa dunia..hata kama hatuijui siku. ila kwa kifupi naomba niwaambie na kuwahakikishia, ISRAEL HAITAKUJA IANGUKE HATA SIKU MOJA, INAZIDI KUNENEPA, itazidi kuchikua maeneo ambayo walipewa na Mungu, na waarabu watazidi kushindwa. hizo ni silaha tu za maadui wa israel, silaha za manano ili kuwatetemesha, watu wale hawatatetemeshwa kwasababu wanalindwa sio na marekani au mwanadamu, wanalindwa na Mungu. na yeyote anayemlaani Israel analaaniwa hata leo hivi, na yeyote anayembariki israel anabarikiwa hata leo hivi. Marekani imebarikiwa kwasababu ya kuwabariki Israel kwa mali zao. na kwasasa ambapo Obama ameingia akijaribu kuwa mbali na baraka(israel), basi marekani itameguka vipande vipande, na tutashuhudia ukweli wa maneno ya Mungu waziwazi. kizuri ni kwamba, pamoja na kwamba wewe utasema kuna watu wameanza kuhoji uhusiano kati ya marekani na israel, hao ni watu wachache, na wengi wao ni mashoga na wasagaji, na waislam ambao ni asilimia ndogo sana ya watu. kuna watu kule marekani hasa ma evangelists ambao ni wengi sana baada ya wakatoliki, wako tayari hata kujilipua kwaajili ya waisrael. hivyo, hata kama obama atafanya nini, lazima tu atalazimishwa na mataikuni wa kilokole na kiyahudi kule marekani aendeleza sera zilezile kwa israel. hata hivyo, usije ukafikiri marekani ikitetereka itakuwa haina uwezo kuisaidia israel, itapunguza misaada na tz lakini sio na israel, kwasababu wamegundua siri kuwa kuishikilia israel ni kuishikilia baraka.

  mataifa yanayoipiga vita israel kama vile Russia(ambayo imetoa sana silaha kwa misri na mataifa ya waarabu kuipiga israel) wameshaporomoka na sio federation kama zamani. waarabu ndo wanagombana hata wao kwa wao kidini, wamelaaniwa na siku zote wanaishi kwa sumu ya hasira mioyoni mwao, hawana amani wala furaha hata kama israel haijafanya kitu. ni kwasababu wamelaaniwa kwa kuilaani israel. israel hata uilaani ni taifa la Mungu halita laaniwa. wewe ndo utalaaniwa. habarindo hiyo.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mungu ndiye aliyelirudisha taifa la Israel mwaka 1948. kwasababu lilikuwepo kabla ya hapo wakasambaratika tu kwa adhabu ya Mungu. Mungu alitaribi kuwakusanya tena, na amewakusanya tena palepale kwenye nchi yao. hivyo aliyelianzisha taifa la Israel sio USA wala UK. waislam wengi hufundishwa mafundisho ya uongo, ndio maana hata uwaeleza vipi hawaelewi kwanini unasema taifa la israel ni taifa teule la Mungu. hata hawajifunzi wenyewe tu wanaposhindwa kulipiga. siku zote wanashindwa kulipiga na hawaelewi ni kwanini. kumbe siri ni kwamba, taifa la israel linalindwa na Mungu mwenyewe.na Mungu ameahidi kulilinda, pamoja na kwamba kuna kipindi mataifa ya waarabu yataungana na Russia kulipiga taifa la israel, israel atakuwa hana msaidizi toka marekani wala ulaya, na Mungu atakuwa ameliacha hivyo makusudi ili ajidhihirishe, hapo ndipo Mungu atashuka kwa nguvu zake, atawasagasaga majeshi ya waarabu na urusi vipande vipande. robo tatu ya majeshi yao yatateketezwa kwa tetemeko la nchi na mvua za mawe, radi nk. Mungu atawafundisha adabu ili ulimwengu wote ujue katika Israel kuna Mungu. vita hiyo inakuja na iko karibu. hivyo ukiona marekani inaanza kujitenga na israel au hata ulaya inafanya hivyo, ujue muda huo wa adhabu ya Mungu unakaribia, vita ya gogu na magogu na vita ya almagedoni viko karibu. ukiona hivyo tu,basi ujue basi siku za mwisho ndo hizo. changamkeni, jiwekeni tayari kwasababu yule mhukumu walio hai na wafu atakuwa anakaribia. mwenye akili na asikie hilo. kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri ya kuwa Yesu Kristo ni Bwana wa mabwana, mfalme wa wafalme na Mungu wa wote wenye mwili. period.
   
 17. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  I think you missing one point...Jews are the most succesfull Intellectuals in all Industries you can mentionin in the world .

  Second The bankers you mentioning they have not lost money as you think but their Investors are the ones who did lost their money due to lost value of shares prices.

  If you were following News Mayor Bloomberg is one of the best financier who his Investments Value has gone up .,

  Third there is many Jews outside Israel than the ones live throught the world,

  Talking of China , You must reliased that most of compnies invested in China they are from USA.They went there because of Cheeper labour therefore when China Buying American T bills is fo their own intrest too.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  true sir. there are much more Jews outside Israel(which has more than 7 mil). most of them in the US,spain, France some countries of eastern europe, canada and south America. in those countries they live as citizens, ndio wanao dominate uchumi wao kwa viwanda na utajiri. Jews outside Israel have the power to contribute bigger monies that that israel receives from the US annually. wanaoshikilia utajiri wa US ni Jews, Canada and many countries of Europe. kama wayahudi wote watasema warudi israel, ile nchi haitatosha. hata hivyo, even those who come from outside Israel, are given free citizenship of israel, na huwa wanarudi kupigana vita kwa mwaka mmoja kila baada ya muda fulani. hivyo, hizo ni ndoto za alinacha za mchana.
   
 19. Netanyahu

  Netanyahu Senior Member

  #19
  Mar 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 148
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Israeli lilianzishwa kama Taifa na wanaharakati wa Kiyahudi walioko uhamishoni uingereza na Marekani.Taifa la Israeli lilianzishiwa uhamishoni kwanza.

  Wayahudi waliokuweko katika biashara,siasa na maeneo ya maamuzi kwenye serikali za USA na UK ndio walioshinikiza kuweko sera ya Kuanzishwa Israel katika serikali hizo.

  Kwa kuwa wayahudi walikuwa wengi na wenye uwezo kifedha,kisiasa na kiuchumi katika nchi hizo wakasikilizwa wakijua wasipowasikiliza waweza ondoa mitaji yao mikubwa na biashara zao na teknolojia zao na kutimkia sehemu nyingine.

  Ukumbuke kuwa miaka ile kila nchi ilikuwa ikihaha kutafuta wafanyabiashara na matajiri wa kiyahudi walipa kodi wazuri ili watoke katika hali ngumu ya uchumi baada ya vita kuu ya dunia.Nchi nyingi ziling'ang'ania wayahudi hata warusi walikuwa wakali walikuwa hawataki wayahudi waondoke nchini kwao.Kwa taarifa yako mashindano ya silaha katika ya USA na USSR yalikuwa ni kati ya wayahudi walioko viwanda vya silaha Urusi na wale waliokuwa viwanda vya silaha USA.Hata mmarekani alipokuwa anapanga mbinu za kusambaratisha Urusi aligundua kuwa dawa ya kummaliza mrusi ni kuwaondoa wayahudi wa Urusi warudi kwao Israel.Mashirika libao yenye pesa kibao yakaundwa kuwarubuni wayahudi waondoke Urusi warudi Israel na wakapewa package nzuri za kuanza maisha.Wengi walikubali wakaacha kazi zao.Urusi ukabaki na walevi wa vodka kwenye sekta ntingi tu ikiwemo siasa.Washauri wenye akili wa kisiasa wakawa wameondoka.Kila sehemu Urusi kukawa na CHAOS sababu brain nyingi zimeondoka.Nchi ikasambaratika watu wakabaki kushangaa taifa kubwa lenye nguvu kama lile limesambaratikaje.Nafikiri unaelewa kuwa hata ukomunisti ulikuwa sera ya Urusi mwanzilishi wake alikuwa ni myahudi KARL MARX.Kwa hiyo wayahudi kuondoka lilikuwa pigo kuu kwa USSR.

  hIVYO Uingereza na Marekani ndio zikaona zijikombe zaidi ili wawaone bora zaidi wayahudi wapende UK na USA kuliko nchi nyingine duniani wakaone wawasaidie hiyo package ya kuanzisha taifa lakini move yote iliendeshwa na wayahudi wenyewe ndani ya serikali za USA na UK.Serikali zilikuwa rubber stamp tu kama ambavyo serikali imekuwa rubber stamp tu kwenye mikataba ya Richmond na Dowans.Serikali kazi yake inakuwa kuchonga mihuri na kununua vidau vya wino wakati mafisadi ndio wanaanda kila kitu hadi mikataba halafu wanailetea serikali ya watu kama ngeleja wamgonge mihuri.
   
 20. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  "Talking of China , You must reliased that most of compnies invested in China they are from USA.They went there because of Cheeper labour therefore when China Buying American T bills is fo their own intrest too."


  LEOKWELI: Sikusema kwamba Marekani ime-invest kule China, ingawa ziko investments za Marekani kule. Nilichosema ni kwamba China ime-invest ma-trilioni ya dollars katika serikali ya Marekani kwa kununua bonds and other securities, kwani wao (China) wana extra cash -- nyingi sana. Na hizo pesa ndizo zinatumika hivi sasa ku-bail out mabenki ya Marekani na makampuni mengine yaliyofilisika.

  Kwa maneno mengine tunaweza kusema Marekani sasa inalishwa na China!
   
Loading...