Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Watangazie theist wenzako upuuzi huu lakini watu kama sie atheist ambao hatumjui Musa/Moses/Moshee hatuna imani hii.[/QUOTE]
So, you have got a Faith but not like that of Moses/Musa/Moshee!
Watangazie theist wenzako upuuzi huu lakini watu kama sie atheist ambao hatumjui Musa/Moses/Moshee hatuna imani hii.[/QUOTE]
So, you have got a Faith but not like that of Moses/Musa/Moshee!
Kasome kwanza upate uwelewa.
Atheist hatuna Imani.
Read here you will see why they can never condemn any atrocities committed by fellow Muslims.
[/FONT] Abu Hurairah (May Allah be pleased with him) reported: The Prophet (PBUH) said, "Allah will cover up on the Day of Resurrection the defects (faults) of the one who covers up the faults of the others in this world".
Commentary: Covering up the shortcomings and faults of people is an excellent manner. That is why this quality is very much liked by Almighty Allah. On the Day of Resurrection, Allah will give a matching reward to that man who has such a quality, which means that Allah will forgive his sins and will not call him to account for his sins. If at all He will do so, He will not do it publicly so that he is not embarrased before others. Then Allah may forgive him or send him to Hell for a short while.
[Al-Bukhari and Muslim]
Mambumbumbu ni wengi kwenye hii siteKutokuwa na Imani nayo ni Imani! Unajua maana ya Imani weye? Unaoneka umechagua Imani usiyoijua vema, ni afadhali ujiite Mpagani hapo utaeleweka vema.
Katafute kamusi ujue maana ya KUJUA NA KUAMINIBIG NO. mna imani ya kutoamini imani za wengine!!!!!
Mambumbumbu ni wengi kwenye hii site
Kama hujasoma hata kamusi huna?
Atheists don't believe in God.
Theists do believe in God.
Pagans are wiccans or something. following one of the old religions that involves magic and whatnot.
Knowledge = to know
Believe = to understand without knowledge
Nimekuambia ijue maana ya Knowledge na BelieveHuyu mdeen wa atheist teyari ameshaanza kupanda jazba. Wewe bana unafuata na kuamini wa jina lako marehemu darwin.
Nimekuuliza swali, atheist ni nini, ukajibu utumbo. Sasa nategemea umesha kula majani ya Montego Bay, Jibu swali, je, atheist ni nini kama si deen?
Watangazie theist wenzako upuuzi huu lakini watu kama sie atheist ambao hatumjui Musa/Moses/Moshee hatuna imani hii.[/QUOTE]
So, you have got a Faith but not like that of Moses/Musa/Moshee!
Islam: Ten Commandments
Catholic and Lutheran Christianity: Ten Commandments
Judaism : Ten Commandments
Wote hawa wanafuata amri za mtu mmoja ambazo mpaka sasa huyo Moshee hana uhakika wowote kuweko kwake.
Nimekuuliza swali, atheist ni nini, ukajibu utumbo. Sasa nategemea umesha kula majani ya Montego Bay, Jibu swali, je, atheist ni nini kama si deen?Nimekuambia ijue maana ya Knowledge na Believe
Atheist hatuna kitu kinaitwa Believe au kwa kiswahili IMANI
Kama wataka nikusaidie nikwamba IMANI= Kitu unachokiamini lakini huna uhakika nacho
Kujua= kitu ambacho una uhakika nacho.
angalia sentensi hizi mbili tofauti.
1. Watanzania walimchagua JK wakiwa na IMANI kwamba atawaletea maendeleo kwa haraka.
Hii sentensi ya kwanza inaweza kua kweli ataleta maendeleo haraka na hapo hapo inaweza kua hataleta maendeleo haraka.
2. Watanzania WANAJUA kwamba JK ni rais wa Tanzania.
KUJUA= Uhakika
KUAMINI= Kitu ambacho hujakipatia uhakika bado.
Nimekuambia ijue maana ya Knowledge na Believe

Jibu swali, je, atheist ni nini kama si deen?
ἄθεος / Atheism = "without gods", or In the broadest sense, it is the absence of belief in the existence of deities
Atheist hatuna kitu kinaitwa Believe au kwa kiswahili IMANI
Kama wataka nikusaidie nikwamba IMANI= Kitu unachokiamini lakini huna uhakika nacho
Nimemiambia leteni facts za mauaji ya Stalin na Mao3) Halafu nashangaa jinsi unavyotumia lugha "sisi maatheisti". Huko juu umekubali ya kwamba wauaji wakubwa wa karne ya 20 yaani Stalin na Mao walikuwa wa kabila hili. Unapenda kweli kusimama kando ya hao???
Kwahiyo unakiri hapa kuwa ni belief ya kuwa god does not exisit?
Atheist hatuna kitu kinaitwa Believe au kwa kiswahili IMANI
"An atheist, Pol Pot suppressed Cambodia's Buddhist religion:Nimemiambia leteni facts za mauaji ya Stalin na Mao
Na mimi nitaleta facts kuhusu mauaji ya watu wa deen halafu tulinganishe nani muuaji mkubwa.
Kipengele nilicho-delete nitakitumia kukujibu baadae
Nimemiambia leteni facts za mauaji ya Stalin na Mao

Richard Pipes, A concise history of the Russian RevolutionNimemiambia leteni facts za mauaji ya Stalin na Mao
Na mimi nitaleta facts kuhusu mauaji ya watu wa deen halafu tulinganishe nani muuaji mkubwa.
Kipengele nilicho-delete nitakitumia kukujibu baadae