Chupi imeleta kizaazaa

Nishapoa mkuu,fanya faster kabla my girlfriend wako hajarudi,yasije yakakukuta kama yaliyonikuta mie.Nalog off
 
Haya mabafu ambayo ni ya ku-share na milango haina makomeo kaaz kwel!

Au ulifanya kusudi kutofunga mlango ili jirani aje kuchukua chupi yake?

Ha ha ha haa!
 

Vituko vya duniani na wewe. Unaonaje ungeokota ile chupi ukaitundika mlangoni bila kufua. Obvious una mahusiano nae mpaka chupi yake ikakuvutia kuishika na kufua.

Hama hiyo nyumba, mfuate mkeo huko alikoenda umrudishe, akikataa kurudi njoo kwangu mimi nitakupokea.
 
mkuu fanya kweli kabisa ujue moja na kama lawama bas zije huku umefanya kwel kuliko kupatA lawama wakat mzgo ujala
 
mkuu hujawaza kabisa....mke wako alipokukuta na hiyo chupi ungemwambia ni chupi yangu.
 
bora ujiite na log off.maana kila nikisoma maelezo yako,maneno yako ya mwisho ya ku log off,hunifanya nicheke tu
 
nasikitika kukujulisha kuwa wewe na mkeo na huyo mpangaji mwenzako, woote ni mazuzu magic.
Let the chupi rest in peace, kaihifadhi sandukuni mwako, mkeo akirudi umwambie ulikuwa ukiiombea hiyo chupi ya huyo mpangaji mwenyewe ili pepo wa mitego amtoke, na kimashine cha kuburudisha MBOZI cha mdada huyi kizibe kabisa.
 
Huyo mdada atakuwa nae anataka umsajili ktk himaya yako,au alikutegea kusudi chupi huyo.ndoa muhimu mbembeleze shemeji.
 


Mmmmmmh, maswali mengine bwana!
basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,
soma hii sehemu kwa makini kama unatumia akili na sio...........utajua kwann niliuliza ilo swali,
kama ni nyumba za kupanga kwann hakuufunga mlango wa maliwatoni
ina mana hakuna malango eiza ni wa bati au gunia koz mtu atazamaje gafla toi????????
hata kama alikua anamsubiri my wife wake sio tija ya yy kutofunga mlango akija angemfungulia nanukuu Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,

ndio mana nimeuliza mlango wa gunia nn mana ndio hua hazinaga vitasa na kama viko vimelegea
 
bujibuji,... umenifanya nicheke sana. japo jambo lenyewe ni la huzuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…