Chupa za Plastiki zilizotumika za 1.5 L

Chupa za Plastiki zilizotumika za 1.5 L

Chupa tupu zenye mfuniko? Ambazo bado nzima? Au hata zilizobondeka!?
Kuna Sister wangu wa kitaa ndo kazi yake kukusanya Chupa hizo, naweza kumpa huu mchongo!
 
Dah! Kumbe mie wananipiga sana bei, maana huwa nanunua 2 kwa sh 100
 
Chupa tupu zenye mfuniko? Ambazo bado nzima? Au hata zilizobondeka!?
Kuna Sister wangu wa kitaa ndo kazi yake kukusanya Chupa hizo, naweza kumpa huu mchongo!
niunganishe nice third person
 
niunganishe nice third person
Na wewe unahitaji?
Yeye hununua toka kwa Watu wanaokusanya, kila baada ya siku 3 - 5 hujaza fuso....

So unaweza kunipa uhitaji wako na price then nikamwambia.
 
nilitaka niwe negotiator wa price nipate hapo hata 1%
 
Back
Top Bottom