Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Naomba msaada ni wapia au duka lipi linauza chupa ndogo kama hizi iwe ndani ya mkoa wa kilimnj
.
Nenda kariakoo sokoni, Tandika pia vinapatikana kuna duka karibu na stand ya mabasi ya mbagala.
We naweNenda kariakoo sokoni, Tandika pia vinapatikana kuna duka karibu na stand ya mabasi ya mbagala.
Wazee wakusoma kichwa cha Habari mnisamehe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.We nawe
Umavoelekeza utadhani kila mtu yupo dar vilee...mwenzio kasema kilimanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaa