Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Chuo gani na ada ni kiasi ganiNinafundisha
Kwa Dar ni Unique academy lakini pia hata Udom.habarini ndugu....
natafuta sehemu ama chuo cha kusoma mambo ya information security hapa tanzania hasa dar es salaam.
natanguliza shukrani
naombeni msaaada wenu
masters wakuuLevel gani Mkuu? bachelor au master?
ila tunaomba mtuelekeze unique academy ipo sehemu gani?ma
masters wakuu
Degree ulipiga wapi kaka?ma
masters wakuu
Mimi hapaWakuu nani anakijua vema chuo cha unique academy
Upangaila tunaomba mtuelekeze unique academy ipo sehemu gani?