K kichwapanzi Member Joined Aug 30, 2016 Posts 50 Reaction score 23 Feb 19, 2017 #1 Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
mligavakali Member Joined Sep 24, 2016 Posts 11 Reaction score 3 Feb 19, 2017 #2 Umechelewa sana,watu washaanza kupiga msuli kitambo