Chuo kitoacho diploma in Education wakati wa likizo

mourisous

JF-Expert Member
Jan 19, 2016
443
269
Habari wakuu ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahaamu chuo kinachotoa DIPLOMA in EDUCATION wakati wa likizo za jun na december au kwa private study
 
Kuna ambacho kipo tanga ila sijajua kinaitwaje na Uganda PIA kipo wanasoma likizo mwezi wa 6 na 12
 
TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA (TWW)-Institute of adult education (IAE) main cumpas posta dsm, branches ziko Tanga, Arusha,dodoma, tabora, lindi, mwanza nk wanatoa OPEN and Distance learning (ODL) na face 2 face wakati likizo tu yaani kama December's, easter holiday etc
 
Habari wakuu ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahaamu chuo kinachotoa DIPLOMA in EDUCATION wakati wa likizo za jun na december au kwa private study
TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA (TWW)-Institute of adult education (IAE) main cumpas posta dsm, branches ziko Tanga, Arusha,dodoma, tabora, lindi, mwanza nk wanatoa OPEN and Distance learning (ODL) na face 2 face wakati likizo tu yaani kama December's, easter holiday etc
 
TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA (TWW)-Institute of adult education (IAE) main cumpas posta dsm, branches ziko Tanga, Arusha,dodoma, tabora, lindi, mwanza nk wanatoa OPEN and Distance learning (ODL) na face 2 face wakati likizo tu yaani kama December's, easter holiday etc
Hiki siyo chuo ww ni genge la wahuni tu kozi zake siyo za ualimu ni ngumbaru kama unataka kusoma kozi za uhakika nenda open university of Tanzania hawa ndoo wana kozi za ualimu pure taasisi ya elimu ya watu wazima ni matapeli wezi hawafundishi ualimu utapoteza mda
 
Back
Top Bottom