and Yes it is a technical college. Mpaka uweze kufikia kuvuna ulanzi, kwanza uoteshe miti yake, ulanzi wenyewe unavunwa kwenye miti michanga, hii huwa na juice nzuri sana. Lakini unaweza kuuweka ukawa mtogwa au mkangafu. Kuna kiwanda kinataka kuanzishwa kwa ajili ya usindikaji wa kinywaji hiki, hakika ni kinywaji kizuri sana. Ikiwezekana kinaweza kuuzwa hata nje ya nchi, inategemea na hali ya uzalishaji. Tunataka kupunguza unywaji wa whisk za urusi ... monte de van .. heinken. Ni vema hela ikabaki kwetu ili tupate hata hela ya kufua umeme wa kiwila megawati elf 25. Inafahamika kwamba kila kabila lina aina yao ya pombe(extreme ni gongo), hivyo kwenu pia ipo, tuambie ni ipi ipo kwenu!!!
Kuna afande mmoja kajinyonga mitaa ya kihesa nasikikia ni mtu wa musom - (aroo hebu rirete huku), kuna watu wawili (mmoja mchiga -(yesu na maria) na mwingine mndombolo) walijinyonga chuo kikuu dar es salaam (2005/2006) sina updates kwa sasa. Nadhani knowledge hii inatakiwa na watu wengi, hebu chunguza kwako halafu uone mahitaji hayo ya kufungua pia huko kwenu... nategemea uwezo wa chuo unachotangaza utakuwa mdogo. Fuatilia takwimu za kujinyonga hivi sasa uone tatizo lilivyotawanyika..
Bata na kuku wote wanajisaidia, tatizo bata.. fuatilia, kuna nchi watu wanakula mbwa, paka, nyoka, konokono- china ni baadhi ya hizo katika baadhi ya vyakula nilivyotaja........... we umezaliwa upande gani, ninyi mnakula nini, kuna mkoa hapa nchini inasemekana wana historia ya kula watu, unaujua mkoa wako vizuri, usije ukawa wako hebu fuatilia, hivyo kozi yako ni ya kawaida mno haitapata wateja... jaribu hiyo ya kula watu. Tanzania tuna varieties za vyakula, so still selective.....
Lakini kozi ya hasira kila mmoja alishapitia tangu anazaliwa(inborn) kama huna hasira una matatizo, kamwone daktari atakwambia nyongo yako imepinda au la sivyo imetoboka na hivyo inakushindwisha kuchukia, ingawa unaweza kumwomba akusaidie kuitoboa zaidi ili uwe unacheka tu hata ukipigwa kibao(joke).
HIVYO OFFICIALY NAKIFUNGA CHUO CHAKO, FUNGUA MRADI MWINGINE, HUU HAUTAKULIPA.
ukiongea na watu utayapata haya ya watu